Utapeli kupitia centre for environment protection.

Utapeli kupitia centre for environment protection.

inaonekana ni kikundi cha watu kinachofanya kazi ya kutapeli watu, nimeshirikisha wadua yaani marafiki zangu, walichoniambia kuwa kuna uwezekano mkubwa sana wanaofanya hiyo kazi ya kutapeli watu ni raia wasio watanzania ambao wapo nchini na wamegundua kuna uvujo kwenye ajira na kuamua kuafanya kazi hiyo; ushauri ni kwamba kazi zozote zitakazotangazwa kwenye mitandao ambayo inakutaka utume cv yako tuu ni ya kitapeli
 
katoka kunitumia msg sasa hivi huyu cjui anakuwaje i think zoom imevamiwa sasa mie anataka kunipiga 30 looh amebugi...
 
Back
Top Bottom