Utapeli kupitia centre for environment protection.

Utapeli kupitia centre for environment protection.

shadow recruit

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2011
Posts
1,844
Reaction score
384
wiki iliyopita kuna kampuni ilipost kazi za Research Assistant kupitia Zoom inaitwa Centre for Environment Protection.Jana saa tano usiku nikatumiwa meseji hii
Habari,naitwa rachel frm Centre for environment protection hapa dar,nilipitia CV yako mchana for research assistant and i will help you to get this job,mshahara ni 1.4 million tshs per mnth,but kuna gharama yake,inabidi unipe laki tatu ukishapata mshahara wa kwanza,kama upo tayari do the following,kesho asubuh by saa 5 uwe umetuma scaned copy ya vyeti vyako to visionafricaf@gmail.com na sh elfu 10 by tigo pesa kwny hii namba ili nimpe mtu wa interview kama advance akupitishe 100% siku ya interview,ukishafanya hvyo tutakupigia simu lini uje for interview.make sure umetuma kabla ya saa tano.
 
Oooh..shit man,!.
yaan hao jamaa wanataka kula kupitia watu wenye matatizo kweli wanalaana. Chamsingi ni kua macho sana na hawa watu wanaopost Job.Posts kwenye mitandao na mostly wanajiita REPUTED kukufanya uwe na imani nao,! WATCHOUT GUYS.:
 
Hapo anataka kuvuta hiyo 10,000. Kuna wengine hapa JF nao walitapeliwa kwa style hiyo.
 
Zoom hawana maana kabisa, walishapost kazi za hapa Job kwangu hadi wenye post zao wakataka kuzimia, yaani wewe unafanya kazi kama fulani na mara unaona post yako iko advertised....
 
sasa ndugu skukwambia ukimbilie JF.. if u thought u couldnt u ought to lemmi know.. not airing things whle i was assist.
 
wiki iliyopita kuna kampuni ilipost kazi za Research Assistant kupitia Zoom inaitwa Centre for Environment Protection.Jana saa tano usiku nikatumiwa meseji hii
Habari,naitwa rachel frm Centre for environment protection hapa dar,nilipitia CV yako mchana for research assistant and i will help you to get this job,mshahara ni 1.4 million tshs per mnth,but kuna gharama yake,inabidi unipe laki tatu ukishapata mshahara wa kwanza,kama upo tayari do the following,kesho asubuh by saa 5 uwe umetuma scaned copy ya vyeti vyako to visionafricaf@gmail.com na sh elfu 10 by tigo pesa kwny hii namba ili nimpe mtu wa interview kama advance akupitishe 100% siku ya interview,ukishafanya hvyo tutakupigia simu lini uje for interview.make sure umetuma kabla ya saa tano.

Mimi mwenyewe kanitumia ila kabadili kidogo mshahara kaweka 1.3 na kaniambia elfu kumi ni kwa ajili ya kumpa m2 wa interview anipatie maswali, nilivyoitrace number nikakuta inaitwa rachael Mwakapalila.
 
Ha ha haka ni kademu flani kamemaliza Udom,nafikiri kwao Mbeya na kanaishi Mbeya!dah maisha magumu mpaka Recho umekuwa tapeli?
 
Mambo guyz me ndo rachel ambaye hiyo issue inanihusu,isee nimeshanggaa sana ,simfahamu huyo mtu,na nashangaa kwa nini kaamua kutumia jina langu,hiyo namba sio yangu, me namba yangu imeeishia 66 ni tigo 12, jaman msinisome vibaya,me kwanza nipo iringa nafanya kazi restless development.jina halisi ni rachel kabwelile,hilo mwakapalila ni jina lingine la mzee wangu,so nikaamua kutumia facebuk kwa ajili ya usalama kwenye masuala ya kazi,nimefahamu iyo ishu sasa hivi. I beg guyz sio rachel mimi huyu mtu kaamua tu kunichafua,me sio tapaeli wala sijawahi kufanya utapeli.
 
Lete ushahidi. usichafue sifa ya centre for environment.

haaaaa! We vp ichafuke mara ngapi? Mimi mwenyewe nimetumiwa sms hiyo hiyo. Na huyo huyo rachel kutoka centre for environment protection. Kwa namna yoyote ile ni matapeli la cvyo huyo rachel kajuaje nimeaply hiyo kazi na acces ya cv yangu kaipataje kama c kutoka huko kwenu? Na kumnadi interviewer wenu kuwa anataka wekundu kwa ajil ya advance ya hongo? Nitafute hata mimi nikupe hii sms. Maana mpaka sasa nawatafuta takukuru
 
hata kama ni shida,isifikie kiasi cha kudhalilisha utu wako.mimi nilituma cv kwenye link ya post waliotoa zoom sasa iweje huyo anaejiita rachel aone cv yangu na apate namba yangu kisha anitumie meseji.kama sio ni mtandao wa kitapeli
 
Mambo guyz me ndo rachel ambaye hiyo issue inanihusu,isee nimeshanggaa sana ,simfahamu huyo mtu,na nashangaa kwa nini kaamua kutumia jina langu,hiyo namba sio yangu, me namba yangu imeeishia 66 ni tigo 12, jaman msinisome vibaya,me kwanza nipo iringa nafanya kazi restless development.jina halisi ni rachel kabwelile,hilo mwakapalila ni jina lingine la mzee wangu,so nikaamua kutumia facebuk kwa ajili ya usalama kwenye masuala ya kazi,nimefahamu iyo ishu sasa hivi. I beg guyz sio rachel mimi huyu mtu kaamua tu kunichafua,me sio tapaeli wala sijawahi kufanya utapeli.

Join Date 4th January 2013
Posts: 1
Likes Received: 0
Likes Guven: 0

Mwanzo ulikuwemo humu au kuna mtu kakuambia kua una skendo ndio maana ukaamua kujiunga jamii forums? Na pia mbona akaunti yako ya facebook umeiblock? Kweli dunia imeharibika sana...
 
Intelijensia imemuumbua..tuache kuendekeza njaa jamani.
 
Tafadhali wote waliobugudhiwa na hati zenu kuanguka katika mikono mibaya pelekeni hili swala polisi ili tapeli huyu ashughulikiwe. Anapaswa kukomeshwa na kuwa fundisho kwa wengine. Akiachiwa atakuja kuwa tapeli mkubwa wa kimtandao. Ingekuwa vizuri pia kama mngepost humu profile yake -CV na picha.
 
Back
Top Bottom