Latent chaos
JF-Expert Member
- Jul 15, 2024
- 1,515
- 3,144
Hapa kichwa kinafanya duku duku duku, duku ๐ธPole, usiinyime nafsi ile kitu inataka. Kula raha kijana!
Usijitese ๐ peleka kichwa kwenye joto kikasuguliwe mpaka kimwage jasho ๐Hapa kichwa kinafanya duku duku duku, duku ๐ธ
Ndo nimempigia simu hapokei, asipokuja nikilala hivi kwa sababu ya uzi wako,laana inakuhusu wewe ๐Usijitese ๐ peleka kichwa kwenye joto kikasuguliwe ๐
Wanasema nimerithi tabia mbaya kwako et..Si unajua mtoto kwa mama hakui ๐ ๐
Usiku utakua mrefu sana ๐ ๐ ๐Ndo nimempigia simu hapokei, asipokuja nikilala hivi kwa sababu ya uzi wako,laana inakuhusu wewe ๐
Asante sana ๐๐
Tabia mbaya gani tena? mbona wewe ni mtoto mzuri hunaga baya!Wanasema nimerithi tabia mbaya kwako et..
๐๐๐๐ Mtoto wa mamba ni mamba
Experience is the best teacher, naona hawaamini kwamba mwanamke naye anapenda raha na anaweza kuzizungumzia.Unaonyesha wazi wewe ni mtu mzima unaye jijua sana.
Mi sijari hata wakisema mi nakula tuu mpaka kieleweke mama..Tabia mbaya gani tena? mbona wewe ni mtoto mzuri hunaga baya!
Daah, basi vumilia tu, hamna namnaSheria mkononi hapana Hilo chama nilishaasi kitambo
Aaanh wewe tena unayekulaga rafiki zangu ๐ ๐ ๐Mi sijari hata wakisema mi nakula tuu mpaka kieleweke mama..
Au unanipinga my momy ๐๐๐
Acha kuwa confused na mambo ya kijingaMe mwenyewe nilikuwa confused mwandiko wa kiume ila anasema ameshenyetwa, nkawa najiuliza hili shoga au?
๐ ๐ ๐ nilishakuambiaga, mie huniwezi!Nakutaka ww ๐
Em tujaribu, nipe nafasi moja tuu๐ ๐ ๐ nilishakuambiaga, mie huniwezi!
Utanifanyia nini, hebu niconvince!Em tujaribu, nipe nafasi moja tuu
Naomba nije pm plzUtanifanyia nini, hebu niconvince!
PM imefungwa kwa muda ๐ ๐ ๐Naomba nije pm plz
Bwabwa hili mkuuMe mwenyewe nilikuwa confused mwandiko wa kiume ila anasema ameshenyetwa, nkawa najiuliza hili shoga au?
Nakutumia namba yangu chap then inaifunga tenaPM imefungwa kwa muda