donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,257
- 22,138
Ni kweli, ni vyema na hakiHukua na pesa tu mkuu, vinginevyo yasingetokea haya ulioandika!!
aeiou
Umekubali,mkuu?Huyu jamaa huwa simfuatilii, ila kwa wimbo huu! Sina ubishi!
Arage Jekundu.
Vibaya sana, nausikiliza hadi najishtukia. Majirani wasijedhani na mimi naugulia maumivu. Hapa Jux amejinyoosha hadi mwisho, ila nahisi kumwagikiwa mchanga kwa penzi lake na Vanessa ndio kulikosababisha amwage povu kiasi hiki. Ila uko bomba sana
Haha, sure mkuu. Majirani hawakawii kuhisi umetendwaVibaya sana, nausikiliza hadi najishtukia. Majirani wasijedhani na mimi naugulia maumivu. Hapa Jux amejinyoosha hadi mwisho, ila nahisi kumwagikiwa mchanga kwa penzi lake na Vanessa ndio kulikosababisha amwage povu kiasi hiki. Ila uko bomba sana
Arage Jekundu.
Based on which theory mkuu? Na ujinga in what terms, literacy level au ujinga wa maisha maana ujinga can be described in various perspectivesWanawake wajinga huwa wanawachukia wanaume Werevu.
Source:- my research....
Sent using Jamii Forums mobile app
How old are you Joe....!!Based on which theory mkuu? Na ujinga in what terms, literacy level au ujinga wa maisha maana ujinga can be described in various perspectives
Sent using Jamii Forums mobile app
30+