Utanijuaje??

Ukikutana na Mmenye meno kama ya Dogo janja nina vipuri masikioni na nimepiga wave kama ya Loon(kwenye video ya I need a girl) basi ndio mimi.
 

hahahahaha BAK huwa napenda sana kudance on weekends ila ndombolo si sana mie niko kivingine ila kuna watu huwa nawaona wanshuka ndombolo hasa kwenye maharusi na sherehe ninazohudhuria, hope i've seen u sebenering.... enjoy BAK
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Kibibi.com kirefu chembamba na kicheshi. Ujue umekutana nae.
 
Mwembamba mrefu..........akimuona demu anapita barabarani ana haga la ukweli lazima ageuke nyuma.......halafu mcheshi fulani hivi......ujue huyo ndiye mimi
 

me admire and love u charminglady hongeraC6 kwa kumiliki cute wife
 
Ukiingia bar yeyote wekend ukakuta jamaa mrefu kiaina amekaa counter anagonga ndovu au light za kutosha hadi dada wa counter anafunga ofisi ujue Mkata kiu yupo around.

heheheeee huwa naobserve watu wa kaunta nikiwa kwenye vikao vya harusi na kichen party week ends hope one of them is u.
 
Hapa sijui nijielezeeje. mwaJ msiri wangu hebu waibie kidoog utulize wahaka wa sakapal
 
Last edited by a moderator:
ukifika mjini hapa kwetu mwendesha mkokoteni maarufu aka mago alafu pia ni mtu ambaye masaa yote yuko kulisuma magolake unaweza ukahs kua nimie jaribu kutoa
 
ukimwona mdada ana dredi fupi blaki jua ndio mwenyewe

huwa naedmire sana wadada wenye dreads ila mie zilinishinda na napenda kuwaona nazo kichwani zikiwa zimewapendeza. Now days hadi maofisini wanaweka dreads.
 

shabaha zimekubali bwana.,, hongera sana..baiolojia iko vizuri
 
Last edited by a moderator:
ukija moshi maeneo ya meimoria banda lililoandikwa 'kwetu ni huku' ukakuja mdada amekaa anauza mitumba na bia pembeni ujue ni mimi
 
Ha ha ha haaaaaaaaa! Ukikutana na kijana mjeshi, mrefu, smart na hb kwa saana, ujue umemekutana na msiri wangu Kaizer.

Ewaa mwaJ ndo maana nakupenda hapana chezeua mjeshi
 
Last edited by a moderator:
weraaaaaaa weraaaaaa.my hezbend yan huo urefu ndo ugonjwa wangu.... sipati picha kijacho atakuwaje make daddy ake tall.... grandpa tall....

Mkuu charminglady hapa unatunyanyapaa sisi andunje. Back to topic, ukikutana na andunje mwenye hasira hasira muda wote na mtata haswaaaaaaaa aka mbishi basi ujue ndiye yeye mjasiria ORIJINALE mwingine ni nakala tu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…