Utanijuaje??

sakapal

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
1,804
Reaction score
1,425
Kwa binafsi natamani sana kufahamu baadhi ya JF members hasa wa MMU kwenye uhalisia wao wa maisha yaani wakiwa mitaani au maofisini au majumbani. Kwa mantiki hiyo basi saa ingine waweza kutana na mtu barabarani na kuhisi huyu mtu anaweza kuwa lara1 au BAK au huyu mzee anaweza kuwa Mtambuzi au Platzoom au huyu mkaka anaweza kuwa The Boss na mambo kama hayo. Sasa kwa kuwa hatujuani na hata kama kunawanaojuana wachache mie ningeomba kila mtu aweke vinasaba vinavoweza kumfanya mwana MMU yeyote akiwa mtaani au club ahisi yule ni Snowhite au SnowBall.
Kwa mie Sakapal waweza nihisi
-ukikutana na mdada ambaye barabarani anatembea kwa miguu nakuwa speed mno na siitikii salamu yeyote ya mtu ambaye simjui.
-nikiwa naendesha barabarani ntakuwa naendesha rafu sana, kuchomekea kwa sana, panya road kwa sana.
-nikiwa nakula restaurant natumia dakika 45 kumaliza chakula na kinywaji huwa nakula polepole.
-vimini na pedo zinahusika sana siku za week end na sun glasses kubwaa.
Ukikutana na mdada wa aina hii waweza hisi huyu ni Sakapal may be mko nae job au mnakaa mtaa mmoja. Na wewe weka za kwako ofcourse sio zile za kufanya mtu akujue kabisa but awe anahisi mmh huyu kama Bofloo au Pretaa.
Ni kionjo tuu mnakaribishwa kushare the fun.
 
Hahahaaaaaaa!!!!!!!! The art of being Invicible is being UNKNOWN!!!!!!!!!

hahahahaaa its true but the art becomes more artic when u put the clue for someone to guess whats next.... tupe hata moja pls lara1 hasa ukiangalia na avatar zako mie huwa nahisi unafanana nazo yaani uko kama avatar zako zilivo....... ni kweli au nimekosea???
 
he he he, ukikutana na mtu
-mwembamba sana, black beauty, mrefu kiasi
-akiwa restaurant, sparkling water, kuku
-usafiri ni bajaj kwa kwenda mbele (huwa wananitania hata kama nimepanda vogue, nikiona bajaj nataka kushuka)
-madera yanahusika sana
 
may be tuje tuaandae part yeyote ile kwa wana MMU wahudhurie so utakaokutana nao hapo ndo ujue ndo hao unaochati nao JF

Nimesikia jana kure Arusha kuna mdau ulifiwa na kuna wana Jf walishiriki kumfariji na siamini kama wote waliokuwepo pale wanatumia majina yao halisi humu je walijuanaje?

ukikutana na mtu amepiga msuri na ndizi mkononi ujue ndo mwenyewe
 
Ukiona kibabu Conservative, kikorofi mtaani na kila sehemu, ujue ni HP huyo!
 
Ukikutana na dada mrefu, mweusi, kajaziajazia! Ukiweza kuongea naye mkalin sana kichwani, well composed!

Mikato ni mini skirts & tops, short dresses, skin jeans kwa mbaali!

Nikidrive huwa siwezi kuvumilia foleni, lazima nitanue tu! Ila sasa ndio napenda kuwa na dereva.

I'm very outgoing, so people karibuni sana cinema, club, etc!

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
he he he, ukikutana na mtu
-mwembamba sana, black beauty, mrefu kiasi
-akiwa restaurant, sparkling water, kuku
-usafiri ni bajaj kwa kwenda mbele (huwa wananitania hata kama nimepanda vogue, nikiona bajaj nataka kushuka)
-madera yanahusika sana

bora ckuwahi hisi kama kongosho mdada
 
Njoo tandale kwa mtogole, kijana mlevi utakaye mkuta amevaa kandambili ndo mimi, just say helo
 
Mh! kwa sisi wa jukwaa la siasa tuanyomkashifu kikwete na ccm yake tukisubutu kuweka details zetu hapa, kesho mtu anaokotwa mabwepande.
 
ukiingia bank ukimwona mtu kavaa pensi.t shirt na open shoes is the one
 
Rafiki sakapal ukiingia mahali popote penye miziki ya kukata na shoka ukamuona mtu anayecheza kila nyimbo hahahaha lol! bila kupumzika basi ujue huyo ndiyo BAK. Akiingia muziki BAK ni kazi moja tu kwenda kujirusha kwa raha zake na siyo kukaa kwenye kiti kama kawekewa gundi kwenye kiti na kama muziki haumzingui basi hakawii kuyeya na kwenda kutafuta sehemu nyingine ya muziki unaousikia hadi kwenye viungo ya mwili.


 
Last edited by a moderator:
Mwembamba sana na dera? Kha!
Sasa NY kuna bajaj?
he he he, ukikutana na mtu
-mwembamba sana, black beauty, mrefu kiasi
-akiwa restaurant, sparkling water, kuku
-usafiri ni bajaj kwa kwenda mbele (huwa wananitania hata kama nimepanda vogue, nikiona bajaj nataka kushuka)
-madera yanahusika sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…