Bornventure
JF-Expert Member
- Jan 29, 2017
- 529
- 523
Nakumbuka zamaaani nikiwa mdogo nilikuwa nikisikia masihara walokuwa wakifanyiana wazee wetu .lakini utani wa wazee wa Pwani ulikua ni wa hali ya juu kwani mtu mgeni kamwe Usingweza kuumudu.mfano ktk mchezo wa Bao ama karata au Ngomani nasikia wanaume wa huko Pwani walifika hatua ya kuchukuliana hadi wake zao.
Kwasababu akili za namna hiyo haziwezekani kwa wanaume wa Bara ambao kwa sehemu kubwa wao huwaza zaidi kazi,Heshima na usalama wa familia zao.
Hiyo ndiyo tofauti kubwa na ya msingi kati ya Wanaume wa Bara na wa Pwani