Utani wa Rais Magufuli na waziri Kigwangalla

Utani wa Rais Magufuli na waziri Kigwangalla

😂😂😂 hatari Sana haiwezekani asiwe na brush kwenye gari haswa unapo kwenda schemu muhimu au asiwe na viatu pair mbili huu ni usani wa kuaminika!!
Siku moja asije akaenda na miiba tuu huko ikulu,.ikamchoma mzee baba
 
Shangazi lazima aolewe walahi, na ile michezo ya amber aliitetea sana, so kaka yangu kingwa ananda kuenjoy walahi

Sent using Jamii Forums mobile app
5EBCC0AE-4DC9-4307-ACD4-AFF54A73D63E.jpeg
Camel toe walahi
 
Back
Top Bottom