Utani wa Jadi Special Thread

Ukikutana nao kwenye vibanda vya pweza

Wanafurahisha hao
Kuna watu bwana, wana dozi kubwa kinoma, anakula huo mchanganyiko wa karanga, muhogo na Nazi, kisha anakula pweza na supu yake, baada ya hapo anajisindika na vumbi la Congo. Halafu hana mke wala demu, halafu mnafunga na kuomba machangudoa wakose Wateja, Haa hah haaaa
 
Hahhaha

Nmecheka kifala

Wanakula na ice cream za ukwaju siku hizi .

Hawa watu bhana

Waende lumbila iyunga wakaone watu wanaishije huko

Dah iyunga boys my school
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…