Utani wa jadi wa makabila: Unauonaje?

sasa nyie.....leteni tafsiri hapa haraka kabla sijaenda google.......

Moyo wangu unaenda mbio(mtima wangu wijumba), mlamu waku pureta(wifi yako Preta), nimuwelepi(sijamwona), kwali ayuvikwoki(sijui amejificha wapi). Ngati umuweni umjovelayi(Kama umemwona umwambie), abwelayi mumumanyayi ihuma kwoki?(aje mumjue na ninyi kuwa anatokea wapi?)

Hahahahah! Nimevunja ukimya kwa msaada wa PLATOZOOM!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom