Utani umenikosesha mpenzi

Wakati mwingine ukwel unauma sasa kwa hayo maneno hata Mimi ungepata kibuti maridadi sanaa
 
ROYtmelle

tatizo wewe umemwambia ukweli na wala sio utani
 
Last edited by a moderator:
Sahau kama ni kweli ukimvuaga nguo shape yake ni kama kiazi humpati tena umemtukana mwanamke hata kama ni mbaya we mdanganye tu
 
roytmeller

�������� pole sana aiseee
 
Last edited by a moderator:
Sahau kama ni kweli ukimvuaga nguo shape yake ni kama kiazi humpati tena umemtukana mwanamke hata kama ni mbaya we mdanganye tu

Yaani hataki hata kuniona, na namba yake amesema niifute kifupi nisimtafute
 
Yaani hataki hata kuniona, na namba yake amesema niifute kifupi nisimtafute

Si umeshamtusi hivyo kukuvulia tena nguo hawezi anaogopa utamcheka na shape yake usujali utapata mwingine ila siku nyingine jifunze kumwambia msichana ni mzuri atakupendaje
 
Pitia maelezo hapa.
 
Attachments

  • 1436457572683.jpg
    16.2 KB · Views: 408
Si umeshamtusi hivyo kukuvulia tena nguo hawezi anaogopa utamcheka na shape yake usujali utapata mwingine ila siku nyingine jifunze kumwambia msichana ni mzuri atakupendaje

Sawa, ahsante sana ila nampenda kuikweli na sikuwahi kuwaza kumpoteza
 
Sawa, ahsante sana ila nampenda kuikweli na sikuwahi kuwaza kumpoteza

Haa ila mapenzi ni kazi ila wanawake huwa wepesi kusahau na kusamehe.mnunulie vizawadi vidogo vidogo kama vile nguo za ndani za rangi ya pinky na nyeupe huwa wanafurahi sana
 
Hahaaaaaa eti shape km kiazi its so fun aiseeee,hla inauma hata ingekuwa mim,
 
hata siku moja usimwambie mwanamke wako hana shape...huo siyo utani mzuri, actually ni tusi
 
Kwa mujibu wa katiba ya Tanzania wewe mtoa mada uko umeshazidi umri kwa zaidi ya miaka mitano lkn akili yako iko nyuma kwa zaidi ya miaka mitano!!

It's high time now to be a man! Stop being a boy
 
Kuja tu na kuandika thread yenye maudhui haya inaonesha namna gani ulivyo mtoto...
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…