Utani ulinifanya niachane na mchumba wangu

Utani ulinifanya niachane na mchumba wangu

kuna siku nikawa nataniana na mchumba wangu utani wa hapa na pale, sasa nikamtania kuwa anatakiwa ajipange nitamsugua mpaka atatembea kwa shida.

Nikashangaa alicheka kicheko cha juu tena cha kebehi na akaniambia nitembee kwa shida kwa uume upi wa kunifanya nitembee kwa shida? Uume wenyewe hata nikikohoa unachomoka.

Kiukweli kauli hii iliniumiza sana na ukiangalia kilikuwa kibamia kweli ikabidi nikatishe utani nikawa mpole wiki nzima nilikaa bila amani.

Baadaye yule mchumba wangu akaenda kazini kwake anakofanyia kazi tulikuwa tunakaa mikoa tofauti kwahiyo inapita hata miezi miwili bila kuonana.

Kuna siku nikaonana na mmasai mmoja maeneo ya hai mkoani kilimanjaro nikajenga naye urafiki na nikaanza kumdadisi kuhusu dawa za kuongeza maumbile ya kiume, akaniambia dawa zipo na hazina matatizo ikabidi nimuombe anisaidie.

Jamaa hakusita akanipa hiyo dawa ndani ya wiki nikawa na mshipa wa kufa mtu japo nikaanza kuhisi utofauti ninapotembea nikawa kama ninauvimbe sababu ya kuongezeka gafla kwa mshipa.

Baada ya mchumba wangu kurudi kama kawaida tukaingia uwanjani ile kutoa nguo tu alishtuka vibaya sana akaniuliza imekuwaje?

Nikamwambia nilienda kuongeza akalia sana na kunilaumu kwa maamuzi yangu. Nikamwambia ile kauli yako ndiyo ilisababisha yote hayo.

Hakuamini akaendelea kulia kuwa lazima nina mwanamke mwingne ndiye amenishauri kufanya hivyo..

Kauli aliyoitoa akasema sipo tayari kuendelea na wewe ila siyo kwamba nakimbia ukubwa wa uume ila lazima una mwanamke unafanya naye na amekushauri ufanye hivyo.

Nikaona haina shida nikampa go ahead..

Juzi kati nimeonana naye bado anazidi kunitolea lawama wakati kila mtu anamipango yake na mahusiano mapya.
mapenzi yanajengwa na kuaminiana, kuelewana na kama hivyo havipo ni sawa na sifuri- muono wangu mimi ni kuwa wote nyinyi mna tabia ya kitoto. Hivi nani amekwambia ukubwa wa ile kitu ndiyo umahiri wa shughuli?
 
mapenzi yanajengwa na kuaminiana, kuelewana na kama hivyo havipo ni sawa na sifuri- muono wangu mimi ni kuwa wote nyinyi mna tabia ya kitoto. Hivi nani amekwambia ukubwa wa ile kitu ndiyo umahiri wa shughuli?

umeelewa maada lakn? Au unakurupuka tu kujibu??
Lakin pamoja na yote ya kujifariji ukweli upo pale pale ukubwa wa uume unafaida nyingi kuliko ndogo
 
umeelewa maada lakn? Au unakurupuka tu kujibu??
Lakin pamoja na yote ya kujifariji ukweli upo pale pale ukubwa wa uume unafaida nyingi kuliko ndogo
Are you a woman??? On this i think they have a say on this
 
Last edited by a moderator:
mmmmh aiseee sema ulikosea ulifanya hilo jambo bila kumshirikisha................... na wapenzi wengi au mahusiano mengi au ndoa nyingi wanagombana sana kwa kushindwa kutoa taarifa na kuwa na mambo ya siri na maamuzi binafsi.... ushirikiano umekufa. lazima ilete shida...
alitaka amsuprise, yote hayo ni ile kauli nzito aliyopewa.
 
Back
Top Bottom