Utani ulinifanya niachane na mchumba wangu

Utani ulinifanya niachane na mchumba wangu

siwez kuirudisha hapa ilipo inatosha sana ni saiz ya kawaida ndiyo inayotakiwa. Mbona niliye naye inamtosha??

kumbe yule ushampiga kibuti jitahidi huyo mpya asijue historia ya huo mtwangio
 
kumbe yule ushampiga kibuti jitahidi huyo mpya asijue historia ya huo mtwangio

ilikuwa vigum sana kumficha nilimwambia ukweli kwasababu nilijua ipo sku yule ex aliyekimbia ataweza kumwambia.
Nilimweleza kila kitu na maisha yanaenda bila bugudha yoyote
 
Aisee kumbe ulikuwa na ka nukta!!!

ndiyo nilikuwa na kanukta.
Naamin hata ww unakaudhaifu flani ambako unakajua ww mwenyew ila unajificha tu...
 
Naulizia dawa ya busha km nayo ipo

Kaka nenda pale soko kuu la Arusha maeneo ya wanapouza samaki,ulizia kwa wamasai wanaouza dawa,kuna wazee wawili wa kimasai dawa zote za kuhusu huku chini mzigoni wanazo...hazina madhara,ni shiddah mkuu.
 
mleta mada hakuna dawa ya kufanya irudi kama zamani?....

ili urudiane na mpenzi wako
 
Walahi huo haukuwa utani...! gadem...
 
mleta mada hakuna dawa ya kufanya irudi kama zamani?....

ili urudiane na mpenzi wako

sihitaji kurudiana naye.
Hii inanitosha na huyu niliye naye
 
Walahi huo haukuwa utani...! gadem...

ndio maana na mm nikaona acha niongeze.
Sasa hivi mambo saafi,hata ukinihitaji ww nitakusugua mpaka unene kwa lugha
 
Back
Top Bottom