Utani na nafasi yake katika mapenzi

Utani na nafasi yake katika mapenzi

Mada nzuri sana hii, nimeipenda. Mimi mwenyewe napenda sana utani ila ninakuwa mwangalifu sana ninapotania.
Utani ni aina ya sanaa. Sio watu wote wamejaliwa sanaa hii.

Kuna watu hufikiri kwamba kutania ni kusema ukweli uliopo. Hapana! Utani ni kuzua kitu ambacho hakipo kwa huyo mtu unayemtania. Twende kwenye mfano wa yule dada aliyemtania mpenzi wake kwamba ana kibamia.Huyo dada hajui utani hata kidogo kwa sababu ksema ukweli, hakuzusha.Utani mzuri angemwambia mpenzi wake hivi: "Aisee hilo lihogo lako nalizimia ile mbaya"
Unapomtania mtu mfupi humwelezi ukweli wa ufupi wake; unazua kidogo. Unamwambia: "Halo tall, za asubuhi?"
Hata hivyo ni vizuri kujua kwamba wapo watu ambao hawawezi kuvumilia utani.Tusiwatanie watu wa aina hiyo.
 
mmhhh...kumbeeee? leo nimejua , one day i will try to make. nione namna itavyokuwa. I am taking it as a lesson.
yah, do it mkuu....... tena uta enjoy kuliko siku zote, i'm telling u!! tena kwa wanawake sisi ni raha zaidi,
 
Mawasiliano wazi vikiwemo vicheko na utani ni mambo ya muhimu sana katika mapenzi. Na utani mara nyingi huishia katika vicheko jambo ambalo ni jema si kiafya tu bali pia katika uhai na afya ya mapenzi.

Siyo tu kila wakati watu mko serious. Huwa nafurahi sana nikiona wapenzi wakitaniana au kucheza michezo ya kitoto - mara hao wakimbizane, mara mbaba anamdabua mama kikofi cha tako, mara hivi, mara.

Hii screenshot nimeiona Whatsapp nikafurahishwa nayo. Ni wazi wapenzi hawa wanapenda sana matani na napenda kuamini kuwa penzi lao hawa litakuwa limejaa vicheko tele.

Tufurahie kampani ya wapenzi wetu, tutaniane, tufurahi, tucheke. Maisha yenyewe mafupi.


Naunga mkono utani ni kitu kizuri katika mahusiano ila wengi wanaharibu pale wanapotumia hiyo fursa kujifanya anatania wakati lengo ni kufikisha ujumbe wa jambo linalomkera kitu kibachosababisha utani kuwa mjadala na hata kuishia kuwa mzozo,mytake,utani ubaki kuwa utani na maswala mengine yazungumzwe kwa wakati wake.
 
yah, do it mkuu....... tena uta enjoy kuliko siku zote, i'm telling u!! tena kwa wanawake sisi ni raha zaidi,

wajua una nipa mzuka wa kujaribu hiii kitu coz huwa tuna puuzia ila ni vitu vidogo vidogo vyenye maana kubwa sana....kweli penye watu hapakosi neno.
 
Unapaswa kuishi na mtu kadili alivyo au umbadilishe awe unavyotaka if possible, wapo wanawake/wanaume wanahitaji mtu serious sio unacheka cheka kama malaya au unaongea kiutani tani heshima inashuka sana!
 
wajua una nipa mzuka wa kujaribu hiii kitu coz huwa tuna puuzia ila ni vitu vidogo vidogo vyenye maana kubwa sana....kweli penye watu hapakosi neno.
kajaribu kweli, this is serious...... japo sijajua kwa wanaume nayo inakuaga kama hivi, ila mim boy wang alikua akiniona na smile tu, huku jogoo kashawika! basi hapo ndo raha inapoanzia.....
 
kajaribu kweli, this is serious...... japo sijajua kwa wanaume nayo inakuaga kama hivi, ila mim boy wang alikua akiniona na smile tu, huku jogoo kashawika! basi hapo ndo raha inapoanzia.....

ahaaa..inaonekana alikuwa anakupatia kweli kweli....ama kwlei raha jipe mwenyewe. hongera kwa mautamu uliyokuwa una faidi kwani naamini ulikuwa una enjoy to the climax if not maximum point.
 
ahaaa..inaonekana alikuwa anakupatia kweli kweli....ama kwlei raha jipe mwenyewe. hongera kwa mautamu uliyokuwa una faidi kwani naamini ulikuwa una enjoy to the climax if not maximum point.
hahahahahah.... acha kabisa yani..... ile dunia nyingine kabisa hahahahahaha to the climax, lol
 
hahahahahah.... acha kabisa yani..... ile dunia nyingine kabisa hahahahahaha to the climax, lol

hongera sana...kwani pia hujawa mchoyo wa kutulisha neno ....tumekusikia tutalifanyia kazi.
 
utani hautakiwi kulenga mambo halisia, ndio maana ukaitwa UTANI. Kama mmoja kati yenu hajui maana ya utani, ni bora msitaniane maana mwisho wa siko ni kumkwanza mwenzio au kuachana kabisa. utani ni mzuri kwa wanaojua maana ya utani, maana mnataniana nje ya maumbile yenu na hamlengi vitu halisi.
 
na nyie nao....mko bize mnajadili hii mada badala ya kufanya kazi za kujenga taifa....natania tu jamani!!
 
utani katika mahusiano ni muhimu sana...ila inategemea na utani...kuna jamaa alikuwa akitaniana sana na girlfriend wako...siku moja katika utani binti kamwambia jamaa 'hebu nitolee kibamia chako hapo'...ndo ulikuwa mwisho wa utani...

...aiseee! Hapa hata mi ntamind kwa kwel hata kama ni utani looh
 
Utani ni mzuri sana kwa wapenzi kwani unajenga urafiki wa karibu sana baina ya wapenzi.. Ila jambo la kuzingatia ni kujua aina ya utani utaoutumia kwa mpenzi wako na muda na wakati sahihi maana ukikosea tu unaweza kujikuta unazua maugomvi yasiyo na lazima...
 
sio mbavu kuuma tu, unasikia hadi hamu ya kufanya nae tendo..... ukimwona mwenzako ana smile na kucheka wakati wote, kuna raha flani unaipata hasa ukiwa unampenda.

Ninaomba tuanze kuchekeshana basi
 
ahaaaa...mkuu umetisha sana. aisee kama ni mimi nitacheka ila nitabaki kuumia sana rohoni, na nikimbambia lazima awashwe moto ili heshima iwepo.


Kweli umenena vema mkuu.


Je, unaweza fafanua jinsi namna inavyo kugarimu mkuu?


hasa mkitaniana wakati mood za wote 2 ziko poa. Mbona hizo mbavu zitabaki kuuma kwa vicheko ...

kwanini mkuu mikatabafeki ?



au unamsalimia mwanamke unamwambia
" hebu acha mambo yako unanifanya nisimamishe ntaendaje kazini.
anakujibu" hata ikisimama we nenda tu maana hata haitunishi suruali nani atajua
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom