Utangazaji Si fani Kila mtu aniweza!!!

Babu Ubwete

Senior Member
Jan 26, 2008
169
29
Imefika wakati sasa tuangalie kama nchi na kila mmoja kwamba Fani ya Utangazaji wa redio na luninga sio kila binadamu anaiweza, ni sawa na kuendesha Talk show sio kwamba kila mtu anaweza kuendesha . Watangazaji wetu hapa bongo land wengi hawana kipaji na hawana uelewa wa kujifunza kutangaza vizuri, Naomba nitoe mfano kuna dada mmoja ameanzisha Talk show yake kutangaza hawezi kabisa anarudia maneno, time management hana, Redio kama Clouds ndio imejaa watangazaji wasiotulia katika kutangaza. hebu tujifikirie na kama hatuwezi tukae pembeni tuwaachie waliojaaliwa kipaji cha kutangaza.
 
imekuwaje tena mkuu.....nani kakukorofisha?
 
Kidogo inasikitisha jinsi watu wasivyotulia katika kutangaza habari fulani utakuta mtu hayuko consistent,anarudia rudia maneno, Tone haiko clear. Si kama enzi za kina Sarah Dumba na Betty Mkwasa walipokuwa redioni.
 
Haya ndo madhara ya kupata kazi kwa njia ya kufahamiana,au ngono rushwa na mengineyo lukkuki!
 
mbona sielewi....ni kina nani hao na ni station zipi hizo?...tueleweshane jamani
 
Ile ya Star TV inaboa sana , ni kama talk show ya Mwakwaiya anaongea zaidi yeye kuliko wageni wake. Ni kweli pia kuwa sio kila mwandishi mzuri anaweza kuwa mtangazaji mzuri mfano ni huyu Makwaia Kuhenga ni mzuri sana kuandika lakini utangazajiwake si mzuri kulinganisha na jinsi alivyo mahiri katika kuandika.
 
Makwaia sio mtangazaji, yeye ni mtu tu mwenye kipindi chake na anaita wageni kujadili mada, ni sawa na Simbeye na Ulimwengu, kwa upande Mwingine nakubaliana na wewe kuwa kuna vipindi hivyo vya talk show vinaboa, na ni kweli pia Makwaia anaita wageni na kuanza kuwadrive waende kama yeye anavyotaka yaani wafate hoja zake
 
WENGINE WANA ELIMU ILA HAWANA KIPAJI KAMA MARINE WA TBC1,
NA WAPO WENYE KIPAJI ILA HAWANA ELIMU KAMA DULLA WA PLANET BONGO YA EATV.
Yupi ni bora hapo?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom