Asant kk huyo OJ yupo efm au wasaf?dah mzee kwa uandishi huu unanipa wasiwasi na taaluma yako....cha kukusaidia fungua YouTube channel,since upo vizuri kwenye creativity andaa maudhui ya kuvutia jamii,sio lazima uwe na camera siku hizi hata simu tu hizi zina quality ya kutosha tu...!!
2.ingia studio,au ji record hata kwenye simu sauti ukitangaza,andika proposal/ideal plan ya kipindi kizuri ambacho unahisi kitafurahisha/kuburudisha au kuelimisha,ambacho hujawahi kukusikia kwenye medias hizi,alafu peleka kwenye redios mbali mbali ikiwemo Wasafi fm au Efm muone mtu anaitwa OJ,jamaa ana roho nzuri sana atakusaidia hata mawazo au connections!!
Inakuajeee wadau najua Mishe zinasonga tu japo kibishi ama nn sasa Habari ipo hivi Ni mimi uyo mwanenu Natafuta kazi ya utangazaji either wa kwenye Tv au radio mbali tu ya kusoma chuo cha habari DSJ nina kipaji na kazi hyo Mm nimejikita zaidi katika Kutangaza habari za michezo (Local and International) pia ni very creative unajua kuna tofaut kati ya kutangaza na kuongea nikisema nipo unique namaanisha ,, pia vipind vingine vya kijamii nina uwezo wa kufanya,, sina tatizo la L na R maan ndio ugonjwa mkuu,, Production ya radio nafanya ,,makala za soka naandika,, ni mtaalam wa computer pia ..naweza kumanage social media za kituo au taasisi mbal mbal ,,nimeshindwa kujiajiri mwenyewe kwa sababu sina jambo (mtaji) Pia mm ni idea maker mzuri tu napatikana dar es salaam,, mwenye uwezo wa kinisaidia tafadhali dm yangu ipo wazi
dah mzee kwa uandishi huu unanipa wasiwasi na taaluma yako....cha kukusaidia fungua YouTube channel,since upo vizuri kwenye creativity andaa maudhui ya kuvutia jamii,sio lazima uwe na camera siku hizi hata simu tu hizi zina quality ya kutosha tu...!!
2.ingia studio,au ji record hata kwenye simu sauti ukitangaza,andika proposal/ideal plan ya kipindi kizuri ambacho unahisi kitafurahisha/kuburudisha au kuelimisha,ambacho hujawahi kukusikia kwenye medias hizi,alafu peleka kwenye redios mbali mbali ikiwemo Wasafi fm au Efm muone mtu anaitwa OJ,jamaa ana roho nzuri sana atakusaidia hata mawazo au connections!!
Mkuu, Kwani wapi hapo nimeandika jungu..!!??Boss acha majungu kama huwez kusaidia sio lazm ucomment