Maqal
Member
- Jan 15, 2021
- 9
- 5
Naomba unielewe mkaka.Hapa Tz kuna wananchi gani walisema lissu ameshinda.?
Sijasema Lisu kashinda, wala sijasema wananchi wamesema Lisu kashinda, lahasha.
Nilichojaribu kueleza ni vile chaguzi za huku kwetu zimetofautiana na huku nje, kuanzia mtazamo wa wananchi, tume ya uchaguzi, mahakama na vyombo vya ulinzi na usalama
Nadhani utanielewa vizuri