Utandawazi wa Siasa: Alianza Tundu Lissu, akafuata Trump, sasa Bobi Wine kupinga matokeo bila ushahidi

Hapa Tz kuna wananchi gani walisema lissu ameshinda.?
Naomba unielewe mkaka.

Sijasema Lisu kashinda, wala sijasema wananchi wamesema Lisu kashinda, lahasha.

Nilichojaribu kueleza ni vile chaguzi za huku kwetu zimetofautiana na huku nje, kuanzia mtazamo wa wananchi, tume ya uchaguzi, mahakama na vyombo vya ulinzi na usalama

Nadhani utanielewa vizuri
 
Wewe unataka ushahidi gani ndio ujue kwamba Magufuli hana mandate halali ya kuwa rais wa nchi hii.

Kura zilidumbukizwa na mapolisi na maafisa usalama. Very shameful Shithole Country.
 
Kamanda huna msimamo

Kwahiyo Tundu ndiye Rais?
Wewe unataka ushahidi gani ndio ujue kwamba Magufuli hana mandate halali ya kuwa rais wa nchi hii.

Kura zilidumbukizwa na mapolisi na maafisa usalama. Very shameful Shithole Country.
 
Kama Tume ya Uchaguzi ingekuwa huru, ikamtangazia John Magufuli uhalisia, kuwa ameshindwa na Tundu Lissu, Magufuli angekubali?

Kama kura za wizi za Magufuli zilizoshikwa, zingekuwa ni za Tundu Lissu, Polisi wangefunga midomo kwa super glue kama walivyofanya?

Kinachopendeza ni kwamba John Magufuli amejua kuwa Watanzania hawamtaki.

Na tumeona akijibu mapigo kwa kuruka kipande cha Dodoma mpaka Isaka kwenye ujenzi wa Reli ya SGR.

Anawaambia Watanzania kuwa kwa kuwa hawamtaki, atakusanya pesa zao za kodi, na kuzipeleka Mwanza na Chato anakoamini kuwa alipigiwa kura.
Donald Trump angekuwa Tanzania, angeendelea kung'ang'ania Ikulu kama Magufuli na Yoweri Museveni.

Sote tunajua kuwa Ving'ang'anizi hawa wawili, Magufuli na Museveni, nafsi zao zinawasuta sana.
 
Wananchi walio wengi wamempuuza Tundu kama wamarekani walivyompuuza Trump

Kujifurahisha ni sehemu ya maisha ya mtu binafsi.
Wewe unajua fika kilichofanyika.
Karatasi za kura zilizokwisha wekwa alama ya vema kwa Mgombea aliyejua kuwa hawezi kushinda bila kuiba, zilikamatwa maeneo kadhaa, na pamoja na kujitahidi kuzima mitandao ili wizi ufanyike gizani, bado zilionekana.
Kuhusu Lissu, usimalize pumzi yako bure.
Siasa mbadala, ni hitaji la moyo la Watanzania wengi.
Awe Lissu, awe Sugu, awe Zitto Kabwe, daima Watanzania watampigia kama upande wa pili Mgombea ni wa Chama Dola.
Watanzania wanapigia kura Siasa mbadala. Awe Lissu, au asiwe.
Watanzania wanaotawaliwa na UNAFIKI walisema kabla ya Uchaguzi kuwa Mgombea wa Chama Dola atashinda asubuhi na mapema.
Kilichitokea, ikabidi aibe kura.
 
Lisu aliipuuzwa baada ya kugaragazwa na wanainchi wenyeweee.
 
Wewe unataka ushahidi gani ndio ujue kwamba Magufuli hana mandate halali ya kuwa rais wa nchi hii.

Kura zilidumbukizwa na mapolisi na maafisa usalama. Very shameful Shithole Country.
Mbona Hadi we unapingana na lisu maana ye anadai kura hazikuisabiwa nchi mzima Bali matokeo yalitangzwa tu we untuambia polisi wakidumbukiza
 
Back
Top Bottom