Utandawazi wa Siasa: Alianza Tundu Lissu, akafuata Trump, sasa Bobi Wine kupinga matokeo bila ushahidi

Ndugu zangu,

Ni kama siasa za dunia sasa zinafanana na aina ya wanasiasa iwe kutoka Afrika, Amerika au Ulaya wote wanafanana tabia.

Mwisho wa mwezi wa kumi mwaka 2020 ndugu Tundu Lissu aliitisha wanahabari na kuwaambia hatambui matokeo ya Urais,wiki moja baadaye Donald Trump naye kama Tundu bila vielelezo alilalamika kuibiwa kura katika uchaguzi wa marekani na saaa mwezi huu wa Januari,14 2021 Bobi Wine wa Uganda bila kielelezo analalamika kuibiwa kura.

Mjadala: Je, siasa za dunia zimeingia zama mpya za Utandawazi?
Tafuta speech za kiza bisigye usikilize mambo anayowafanyia washindani wake huyo museveni af uje kuandika hapa! Ila kaongea kingereza
 
Ndugu zangu,

Ni kama siasa za dunia sasa zinafanana na aina ya wanasiasa iwe kutoka Afrika, Amerika au Ulaya wote wanafanana tabia.

Mwisho wa mwezi wa kumi mwaka 2020 ndugu Tundu Lissu aliitisha wanahabari na kuwaambia hatambui matokeo ya Urais,wiki moja baadaye Donald Trump naye kama Tundu bila vielelezo alilalamika kuibiwa kura katika uchaguzi wa marekani na saaa mwezi huu wa Januari,14 2021 Bobi Wine wa Uganda bila kielelezo analalamika kuibiwa kura.

Mjadala: Je, siasa za dunia zimeingia zama mpya za Utandawazi?
Kiukweli Tundu lissu alikuwa hana kabisa chance ya kushinda uchaguzi bora hata Trump kwani alikuwa na wakeleketwa wa ubaguzi wa rangi.

New york times, Al jazeera, Washington times..nk zote zilisema Tundu Lissu alikuwa hana dalili ya kuwa mshindi.

Hata ukifikilia tu: CCM ni chama tawala chenye record ndefu kuzidi vyama vingine: hii inafanya CCM iwe chaguo la wazee na watu wa vijijini ambao upiga kura kwa mazoea kwani hawana mawasiliano ya uwepesi.

Pia kwa kanda ya ziwa ambapo Mh. Maguguli na native, wachache wangemchagua Tundu Lissu. (uchaguzi wa 2015 ambapo Chadema walikuwa na nguvu x2, Lowassa alishindwa kanda ya ziwa sembuse 2020).

Fikilia haya yote, alafu ongeza uwezo wa fedha wa CMM 2020, na utendaji kazi wake: Chadema walikuwa hawana nafasi kabisa.

Ubishi dhidi ya matokeo ni kawaida yao kwani fujo ndo nguvu pekee ya upinzani as they have nothing to lose
 
Hiv kwa visa alivyokuwa anafanyiwa na serikali ya Uganda huyu kijana kwanini leo tusiamini hata kwenye uchaguzi kafanyiwa visa?
 
Kiukweli Tundu lissu alikuwa hana kabisa chance ya kushinda uchaguzi bora hata Trump kwani alikuwa na wakeleketwa wa ubaguzi wa rangi.

New york times, Al jazeera, Washington times..nk zote zilisema Tundu Lissu alikuwa hana dalili ya kuwa mshindi.

Hata ukifikilia tu: CCM ni chama tawala chenye record ndefu kuzidi vyama vingine: hii inafanya CCM iwe chaguo la wazee na watu wa vijijini ambao upiga kura kwa mazoea kwani hawana mawasiliano ya uwepesi.

Pia kwa kanda ya ziwa ambapo Mh. Maguguli na native, wachache wangemchagua Tundu Lissu. (uchaguzi wa 2015 ambapo Chadema walikuwa na nguvu x2, Lowassa alishindwa kanda ya ziwa sembuse 2020).

Fikilia haya yote, alafu ongeza uwezo wa fedha wa CMM 2020, na utendaji kazi wake: Chadema walikuwa hawana nafasi kabisa.

Ubishi dhidi ya matokeo ni kawaida yao kwani fujo ndo nguvu pekee ya upinzani as they have nothing to lose
Sijui unachokisema kama kina ukweli,mm nilisimamia uchaguzi kijijini mkoani Tanga tena kijijini kabisaaa,kituo changu kilikuwa na wapiga kura 370 lakini waliojitokeza kupiga kura 305 ,ccm walikuwa 123,cuf 3 zilizo baki chadema .Maagizo yakatoka juu nihakikishe Magu ameshinda zaidi ya 70% ikabidi tufanye hivyo ,unafikiri Tanzania nzima unafikiri kama yanafanyika hayo kuna nn?
 
Ndugu zangu,

Ni kama siasa za dunia sasa zinafanana na aina ya wanasiasa iwe kutoka Afrika, Amerika au Ulaya wote wanafanana tabia.

Mwisho wa mwezi wa kumi mwaka 2020 ndugu Tundu Lissu aliitisha wanahabari na kuwaambia hatambui matokeo ya Urais,wiki moja baadaye Donald Trump naye kama Tundu bila vielelezo alilalamika kuibiwa kura katika uchaguzi wa marekani na saaa mwezi huu wa Januari,14 2021 Bobi Wine wa Uganda bila kielelezo analalamika kuibiwa kura.

Mjadala: Je, siasa za dunia zimeingia zama mpya za Utandawazi?
Tundu lissu anao ushahidi kamili wa kuibiwa kura, ila wenye nguvu zaidi Tanzania na wananchi waliozibwa macho na masikio ndio waliozuia lissu kutangazwa kama Rais halali wa Tanzania.
 
Dogo wewe uongo kwako ni wa ukoo
Sijui unachokisema kama kina ukweli,mm nilisimamia uchaguzi kijijini mkoani Tanga tena kijijini kabisaaa,kituo changu kilikuwa na wapiga kura 370 lakini waliojitokeza kupiga kura 305 ,ccm walikuwa 123,cuf 3 zilizo baki chadema .Maagizo yakatoka juu nihakikishe Magu ameshinda zaidi ya 70% ikabidi tufanye hivyo ,unafikiri Tanzania nzima unafikiri kama yanafanyika hayo kuna nn?
 
Of course that's his personal analysis and opinion. Why shouldn't it be his. And the rubbish you're propagating, certainly, is yours. Let him be him and let you be you. You're a foolish thug roaming around calling gents thugs for no apparent reason. You do the rigging and the calling of people names to cover up your folly. Pathetic!
Mr Lissu and many of his followers are in a suicide pact, a sort of a Gordian knot, or a Faustian bargain – a contract of devils. They are bound by untruth, irrationality and a deep hate for “the other”.

He’s a messiah to them, and messianic figures don’t “lie” to their admiring plebian hordes. It’s scary Mr Lissu's legions are so hungry for the blatant lie. If it’s raining, and he tells them it’s blazing hot, they will believe him.

He’s taken control of their brains. He knows it because his lies become outrageous by the hour. In tandem, his followers become more frenzied. His followers aren’t victims. They have full agency and choose to believe the lie.
 
What Mr Lissu wronged you,hatelate because he is not ccm member ,is it a huge crime?
 
Sijui unachokisema kama kina ukweli,mm nilisimamia uchaguzi kijijini mkoani Tanga tena kijijini kabisaaa,kituo changu kilikuwa na wapiga kura 370 lakini waliojitokeza kupiga kura 305 ,ccm walikuwa 123,cuf 3 zilizo baki chadema .Maagizo yakatoka juu nihakikishe Magu ameshinda zaidi ya 70% ikabidi tufanye hivyo ,unafikiri Tanzania nzima unafikiri kama
Weka ushahidi, acha kupiga porojo zako.
 
Mr Lissu and many of his followers are in a suicide pact, a sort of a Gordian knot, or a Faustian bargain – a contract of devils. They are bound by untruth, irrationality and a deep hate for “the other”.

He’s a messiah to them, and messianic figures don’t “lie” to their admiring plebian hordes. It’s scary Mr Lissu's legions are so hungry for the blatant lie. If it’s raining, and he tells them it’s blazing hot, they will believe him.

He’s taken control of their brains. He knows it because his lies become outrageous by the hour. In tandem, his followers become more frenzied. His followers aren’t victims. They have full agency and choose to believe the lie.
Of course you can't frighten me with those devilish bombastic borrowed or otherwise vocabulary. If at all that was your aim count yourself a complete failure. The hate you cherish towards Lissu and his followers is unwarranted. They are citizens of our motherland just as you're. With responsibilities and rights as per constitution. In case of misunderstanding let it be resolved amicably in the court of law. All these grievances you call lies could have been easily sorted out. In the US we're seeing what is meant by strong institutions of the land. All right-thinking people aspire such order of dealing with civil rights. All and sundry under the law. Suffice to say with no insult whatsoever that you're a nincompoop. No apologizes!
 
Unfortunately, there is a large demographic of you vile characters within the JF, fools quiser democrats. We need your mind out here and not juvenile insults. Hide your conniption fit. Hide your conniption fit.
 
Unfortunately, there is a large demographic of you vile characters within the JF, fools quiser democrats. We need your mind out here and not juvenile insults. Hide your conniption fit.
Juvenile insults? There's no fool like an old fool. The hatred you show puts you automatically on top of all villains!
 
Mr Lissu and many of his followers are in a suicide pact, a sort of a Gordian knot, or a Faustian bargain – a contract of devils. They are bound by untruth, irrationality and a deep hate for “the other”.

He’s a messiah to them, and messianic figures don’t “lie” to their admiring plebian hordes. It’s scary Mr Lissu's legions are so hungry for the blatant lie. If it’s raining, and he tells them it’s blazing hot, they will believe him.

He’s taken control of their brains. He knows it because his lies become outrageous by the hour. In tandem, his followers become more frenzied. His followers aren’t victims. They have full agency and choose to believe the lie.
"choose to believe the lie"
 
Back
Top Bottom