MAJUHA?
Wwewe waliyekuvalisha miwani ambayo hujui imetengenezwa kwa kutumia nini na inamadhara kiasi gani kwa mtumiaji leo unawaita majuha?
Wewe waliokununulisha cm za bei kubwa huku wakikuwekea mionzi lukuki inayokuhatarishia afya ya mwili na kiwango chako cha umri wako wakuishi leo unawaita majuha ? wewe unaewasiliana na watu kwakutumia mitandao bila kuzigatia usalama wa taarifa zako kwa unaowasiliana nao kisha unathubutu kuwaita majuha ?
Hebu pinga kwanza chao kimoja ambachowewe umedhihirisha kukibeza kuwa ni ujuha mkuu na namna ulivyoisaidia jamii yako kujiepusha kwenye ujuha huo jombaa......