Utamwamini vipi mtu kama Machali?

Utamwamini vipi mtu kama Machali?

sirjohn

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
767
Reaction score
679
Kuweni Makini na watu aina ya Machali.

Kuna mtu anaweza akahama chama na usipate shaka na maamzi yake! ILA bahati mbaya watu wengi hasa wanasiasa UCHWARA wamekuwa watafuta pesa na siyo watu wakutaka mabadiliko ya dhati katika kuijenga Tanzania iliyo imara..

Ni jambo la wazi kabisa kinachowasumbua wengi siyo kuijenga Tanzania bali ni kutafuta wapi watapata ahuweni ya maisha na jibu lahisi kwao imekuwa ni siasa. Bahati mbaya wanaofanya haya mambo ni watu wenye elimu zao..jaribu kufuatilia wajinga wengi wa siasa utagundua siyo watu mbumbumbu..

Mosses Machali ni kijana mdogo tu nadhani hana miaka 35 lakini ndani ya muda mfupi amezunguka vyama vyote vikubwa hapa Tanzania unavyojua, hivi unamwamini vipi mtu kama Machali..ni vipi ndani ya miaka isiyozidi KUMI uwe umemaliza vyama vyote vya siasa!

Machali kila anakoelekea lengo na dhamila yake kubwa ni kujipatia kipato..hivi kwa hali hii unategemea kijana wa namna hii ataaminika kwa jamii na watu wanaomzuka! sidhani kama hata mke wake anamwamini.

Machali, zawadi utakayoipata kesho ndani ya CCM ni kuandikwa kwenye page ndogo ya gazeti la UHURU kuwa Machali arudi CCM baada ya hapo rudi Kigoma ukauze DAGAA.

Eti Machali hana imani na Kafulila, hana imani na Zitto eti ana imani na Magufuli..hizi ni njaa za wazi wazi..

Asilimia kubwa ya vijana na wazee katika nchi hii wana tabia za akina Mosses, rudi nyuma kidogo kwa mzee Lipumba, Wasira nk. hawa ni watu wa matumbo tu na siyo lolote!

Bahati mbaya huyu kijana msaka ugali hajajua akili ya mh Rais.. mimi siyo mchawi ila unachokitafuta ndani ya CCM na kwa Magufuli hutakipata, kumbuka na wewe ni ng'ombe asiye na mkia! waulize ng'ombe walio na wasiyo na mkia wanavyosoma namba..

Nakutakia utamazaji mwema wa siasa na karibu uswahilini.
 
Aende zake kule, mpaka hapo ameshapotea ktk siasa za bongo.

Hawezi pewa nafasi ya kugombea ccm kirahisi.
 
Huwezi mwamini mtu kama huyu...

Jinsi alikuwa anatoaga hoja na kuwatoa jasho ccm Leo karudi kule Kule??

Hii hapana kwa kweli.
.
 
Kuweni Makini na watu aina ya Machali.

Kuna mtu anaweza akahama chama na usipate shaka na maamzi yake! ILA bahati mbaya watu wengi hasa wanasiasa UCHWARA wamekuwa watafuta pesa na siyo watu wakutaka mabadiliko ya dhati katika kuijenga Tanzania iliyo imara..

Ni jambo la wazi kabisa kinachowasumbua wengi siyo kuijenga Tanzania bali ni kutafuta wapi watapata ahuweni ya maisha na jibu lahisi kwao imekuwa ni siasa. Bahati mbaya wanaofanya haya mambo ni watu wenye elimu zao..jaribu kufuatilia wajinga wengi wa siasa utagundua siyo watu mbumbumbu..

Mosses Machali ni kijana mdogo tu nadhani hana miaka 35 lakini ndani ya muda mfupi amezunguka vyama vyote vikubwa hapa Tanzania unavyojua, hivi unamwamini vipi mtu kama Machali..ni vipi ndani ya miaka isiyozidi KUMI uwe umemaliza vyama vyote vya siasa!

Machali kila anakoelekea lengo na dhamila yake kubwa ni kujipatia kipato..hivi kwa hali hii unategemea kijana wa namna hii ataaminika kwa jamii na watu wanaomzuka! sidhani kama hata mke wake anamwamini.

Machali, zawadi utakayoipata kesho ndani ya CCM ni kuandikwa kwenye page ndogo ya gazeti la UHURU kuwa Machali arudi CCM baada ya hapo rudi Kigoma ukauze DAGAA.

Eti Machali hana imani na Kafulila, hana imani na Zitto eti ana imani na Magufuli..hizi ni njaa za wazi wazi..

Asilimia kubwa ya vijana na wazee katika nchi hii wana tabia za akina Mosses, rudi nyuma kidogo kwa mzee Lipumba, Wasira nk. hawa ni watu wa matumbo tu na siyo lolote!

Bahati mbaya huyu kijana msaka ugali hajajua akili ya mh Rais.. mimi siyo mchawi ila unachokitafuta ndani ya CCM na kwa Magufuli hutakipata, kumbuka na wewe ni ng'ombe asiye na mkia! waulize ng'ombe walio na wasiyo na mkia wanavyosoma namba..

Nakutakia utamazaji mwema wa siasa na karibu uswahilini.
AU MBOWE, MSIGWA,TUNDU,HAO WOTE HAWAAMINIKI KABISA ASEE, WALITUAMINISHA EDWARD LOWASA MWIZI HALAFU LEO HII WANATAKA TENA KUTUAMINISHA KWAMBA EDWARD SIYO MWIZI. TUSIWAAMINI TENA WANASIASA WA AINA HII NDUGU ZANGUNI!!
 
Ana laana ya kumpiga makonde baba yake mzazi, laana hiyo itamtafuna mpaka siku anaingia kaburini. Sidhani kama JPM anaweza akacheza kamari kwa kumpa kazi MTU anayetembea na laana ya kumtwanga ngumi baba yake mzazi.
 
Yaani hii ndo kilichonifanya nisiwaamini wanasiasa kwa asilimia MIA(100%)
 
Ana laana ya kumpiga makonde baba yake mzazi, laana hiyo itamtafuna mpaka siku anaingia kaburini. Sidhani kama JPM anaweza akacheza kamari kwa kumpa kazi MTU anayetembea na laana ya kumtwanga ngumi baba yake mzazi.
Kumbe?

Ngumi ya wap aseeee...
 
Sasa hivi Itakuwa anauguza kidonda cha kukatwa mkia akiwa kafungiwa na wenzake wakina mpendazoe n.k.
 
AU MBOWE, MSIGWA,TUNDU,HAO WOTE HAWAAMINIKI KABISA ASEE, WALITUAMINISHA EDWARD LOWASA MWIZI HALAFU LEO HII WANATAKA TENA KUTUAMINISHA KWAMBA EDWARD SIYO MWIZI. TUSIWAAMINI TENA WANASIASA WA AINA HII NDUGU ZANGUNI!!

Ndo maana wenyewe wanajiita malofa wa kudumu, ni jambo zuri wanajitambua wao ni hamnazo ila ni ajabu hawataki badilika!
 
Back
Top Bottom