Mwana fikra pevu!! Assume umepata nafasi ya kukutana na Rais Jakaya Kikwete faragha na umepewa dakika mbili tu za kuongea nae. Ni kitu gani utapenda kumwambia kwa maslahi ya Umma wa Tanzania??
Mwana fikra pevu!! Assume umepata nafasi ya kukutana na Rais Jakaya Kikwete faragha na umepewa dakika mbili tu za kuongea nae. Ni kitu gani utapenda kumwambia kwa maslahi ya Umma wa Tanzania??
<br />Nitamkumbushia ile ahadi ya wakati wa kampeni ya underground metro train/subway ya Dar inaanza lini manake foleni zimezidi. Mie nataka ku-park gari yangu kituo cha train pale Mwenge halafu niingie kwenye train niende zangu downtown/Posta mpya. Jioni nichukue trin hadi Mwenge then niwashe mchuma kurudi zangu Bagamoyo
nasikitika kua hakuna cha kumwambia kwa sababu zifuatazo:ili mtu ashauriwe inapashwa kua na sifa ya kutathimini ya kupokea ushauri sifa hizo hana!swala hili nalifananisha swali ya kua ukipewa dk 2 kukutana na kiziwi utamnong'oneza nini!!?mwana fikra pevu!! Assume umepata nafasi ya kukutana na rais jakaya kikwete faragha na umepewa dakika mbili tu za kuongea nae. Ni kitu gani utapenda kumwambia kwa maslahi ya umma wa tanzania??
hawa mabilionea kwa bahati mbaya sana ni wahindi na waarabu. Hawa wana kazi maalum-kukisaidia chama na kuwalinda viongozi wachache walio madarakani. Hawatufai kwa loloteTanzania ina mabilionea wengi . Acha kwenda kuomba omba washauri hawa mabillionea warudishe kiasi kwa jamii na Tanzania ya kufikilika utaipata.
<br />Mwana fikra pevu!! Assume umepata nafasi ya kukutana na Rais Jakaya Kikwete faragha na umepewa dakika mbili tu za kuongea nae. Ni kitu gani utapenda kumwambia kwa maslahi ya Umma wa Tanzania??
Mtoto asipokuwa msikivu huwa anachapwa bakora, sasa unashauri tumfanye nini?
ningemwambia watu wanakutania hivi mkuu wa nchi " palitokea mkutano wa madaktari bingwa dunianikutoka nchi tatu,China, Ugerumani na Tanzania. Wakawa wanajadili mafanikia yaliyofanywa na ktk nchi zao. Mchina akaanza, kwetu alizaliwa mtoto hana mikono tukamwekea wa bandia na sasa ni mpiganaji wa karate. Mjerumani... hiyo kidogo kwetu alizaliwa msichana hana miguu yote tukamwekea ya bandia na sasa ni mkimbiaji olimpiki na ana medali 3 za dhahabu. Mtanzania......., akacheka akasema kwenu bado hamjafikia kiwango rekodi yetu, sisi hapa bagamoyo alizaliwa mtot hana kichwa tukamwekea Nazi na sasa ni RAISI"[/QUOTE]
Nasisitiza tu, na tena nazi wenyewe ilikuwa koroma