tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 22,779
- 31,297
Lol! huko kwenye mila hawafanyiwi haya kweli??? [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ila hapo kwenye dotcom hapo nikweli..
Niliwahi mwambia mtu anifanyie hivi na vile...weeee nițijutaHellooow dears! [emoji113]
Mahusiano yanahusu hapa especially kwenye suala zima la kutaka kufurahishana/ kufikishana kunako
Kuna vitu fulani fulani kila mmoja anapenda sana kufanyiwa au alikua akifanyiwa vinamkuna sana kiasi cha mtu kukubali kuwa babaa/ mamaa hii babkubwa yani mulemuleeee noma sana hii. I like that.
Ikawa si riziki ukapata mwingine Nae ana maujuzi yake kwa dizaini yake anakufanyia makeke anayojua yeye.
Je linapokuja suala letu lilee nahuyo mnew wako unaweza mwambia ukinifanyie hivi / vile huwa nasikia raha sana. Au ndo mpo hapo mnafanya yenu unaweza mwambia fanya hivi fanya vile ukimaanisha kukufanyia baadhi ya mikogo uliokuwa unafanyiwa ambayo ilikumarliza kama sehemu ya kuongeza manjonjo na furaha katika pendo lenu jipya ???
Nawewe kama ndo huyo mchuchu mnew unayeelezwa hayo sasa how will you feel ??
Wewe kama wewe unapenda kipi akwambie nifanyie hivi/ vile au achune tu uparangane nae unavyojua Wewe??!
Jamani Maswali ya uchokozi sitaki. Tufocus kwenye mada.
Mahondaw wa Smart911
Alishanielewesha mwenyewe.....thanks
you are welcomeAlishanielewesha mwenyewe.....thanks
Mwambie tuHellooow dears! [emoji113]
Mahusiano yanahusu hapa especially kwenye suala zima la kutaka kufurahishana/ kufikishana kunako
Kuna vitu fulani fulani kila mmoja anapenda sana kufanyiwa au alikua akifanyiwa vinamkuna sana kiasi cha mtu kukubali kuwa babaa/ mamaa hii babkubwa yani mulemuleeee noma sana hii. I like that.
Ikawa si riziki ukapata mwingine Nae ana maujuzi yake kwa dizaini yake anakufanyia makeke anayojua yeye.
Je linapokuja suala letu lilee nahuyo mnew wako unaweza mwambia ukinifanyie hivi / vile huwa nasikia raha sana. Au ndo mpo hapo mnafanya yenu unaweza mwambia fanya hivi fanya vile ukimaanisha kukufanyia baadhi ya mikogo uliokuwa unafanyiwa ambayo ilikumarliza kama sehemu ya kuongeza manjonjo na furaha katika pendo lenu jipya ???
Nawewe kama ndo huyo mchuchu mnew unayeelezwa hayo sasa how will you feel ??
Wewe kama wewe unapenda kipi akwambie nifanyie hivi/ vile au achune tu uparangane nae unavyojua Wewe??!
Jamani Maswali ya uchokozi sitaki. Tufocus kwenye mada.
Mahondaw wa Smart911
Chaiii
ephen_, umewaona hawa wenzako! Tangu enzi na enzi wawanapendana. Na upendo wao hata hauchuji.mahondaw wangu...
Kila mtu anavile vitu hupendelea na kutopendelea... Ana vitu anajua na ambavyo hajui... Ana vitu angependelewa kufanyiwa au kufanya ila hajui mwenza wake atachukuliaje...
Tatizo linakuja, je unachojua na kukipenda wewe mwenzio atafurahishwa nacho pia...
Kulijua hilo, kuna njia sahihi za kuelezana wenza... Yale kila mmoja angependa kufanyiwa na mwenzake yanayomfurahisha...
Njia za mazungumzo ya kiutani utani bila kumfanya mwenzio kujihisi vibaya... Mkishafikishana ujumbe kwa njia hiyo, kwenye kutenda sasa kila mtu atakuwa na kumbukumbu ya nini amfanyie mwenzake....