Hapana huko kwangu marufuku. Situmii huo mlango kwa ustawi wa afya yangu.
Sio kwamba unamwambia kabisa kuwa yule alikua ananifanyia hivi hio imekaa vibaya.chukua mkono wake ama dushelele elekeza unapo taka kunwa
Kama ni chumvini muanze wewe kwa then muombe naye ama muelekeze kibra kiujanja akusurubu
mambo ya kusema flani alikuwa anafanya iv n ivi kutushusha manyota sekta ya mtanange
Yeah binafsi sipendi kumuonea aibu huwa namwambia baby wanguuuueeeeeee eee mwenzio apa hivi pale vileee sasa sijui ananichukuliaje mungu wangu! [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Kuna zile couple zinaoneana aibu.Hizi mara nyingi utakuta uchumba wao ulikuwa wa muda mfupi au 'hawakujuana' vizuri wakati wa uchumba wao.
Na kuna zile couple ambazo hazioneani aibu.Hizo zilikuwa na uchumba wa muda mrefu na ulioambatana na 'kujuana' kwingi kiasi kwamba hakuna tena aibu.
Ukweli unabaki palepale kuwa mwenza wako hupaswi kumuonea aibu.Funguka akujue ili akupe RAHA DUNIANI.
Okay mamiiUtaelewa tu mama ngoja niombe msamaria mwema alieelewa anisaidie more clarification labda yeye utamwelewa. Labda