Utamwambia au utaona soo upotezee?????

Utamwambia au utaona soo upotezee?????

Okay mamii
Lakini Hujaelewa kweli ama unanizeveza tu rafiki???

Okay nahivi mkiwa kwenye malovee na mtu wako unapenda kumwambia akufanyie vitu fulani fulani vinavokukonga nafsi yako ikafurahi bila kujali kuwa atakufikiriaje labda mh Wewe mwanamke hivo umevijulia wapi?? Umefundishwa nanani?!
 
Kiukweli uwa sina huo muda wa kumwambia sijui nifanyie hivi au vile.....no love, sema tu nikiona anataka kufanya kitu against my will hapo lazima nimwambie
 
So long haniambii nimgeuze kama samaki mlango wa nyuma, it's fine with me. Ila nikisia tu "baby nataka na huko", I MIGHT satisfy her kwa ile ashki ya mda ule, but after that it's a bye-bye.
 
Kiukweli uwa sina huo muda wa kumwambia sijui nifanyie hivi au vile.....no love, sema tu nikiona anataka kufanya kitu against my will hapo lazima nimwambie
Duhhhhhhhhhhh kweli tumetofautiana.. Haaaa hata mimi nikiona hili mh hili hapana namchana hapo sio penyewe hapo achana napo.
 
Hellooow dears! [emoji113]

Mahusiano yanahusu hapa especially kwenye suala zima la kutaka kufurahishana/ kufikishana kunako

Kuna vitu fulani fulani kila mmoja anapenda sana kufanyiwa au alikua akifanyiwa vinamkuna sana kiasi cha mtu kukubali kuwa babaa/ mamaa hii babkubwa yani mulemuleeee noma sana hii. I like that.

Ikawa si riziki ukapata mwingine Nae ana maujuzi yake kwa dizaini yake anakufanyia makeke anayojua yeye.

Je linapokuja suala letu lilee nahuyo mnew wako unaweza mwambia ukinifanyie hivi / vile huwa nasikia raha sana. Au ndo mpo hapo mnafanya yenu unaweza mwambia fanya hivi fanya vile ukimaanisha kukufanyia baadhi ya mikogo uliokuwa unafanyiwa ambayo ilikumarliza kama sehemu ya kuongeza manjonjo na furaha katika pendo lenu jipya ???

Nawewe kama ndo huyo mchuchu mnew unayeelezwa hayo sasa how will you feel ??

Wewe kama wewe unapenda kipi akwambie nifanyie hivi/ vile au achune tu uparangane nae unavyojua Wewe??!

Jamani Maswali ya uchokozi sitaki. Tufocus kwenye mada.

Mahondaw wa Smart911
Kama unataka ku. Fi. L Wa njoo PM tuongee .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom