Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,977
- 36,081
Sawa,nakuja pmHapana huo mchezo mi suchezagi.
Sawa,nakuja pmHapana huo mchezo mi suchezagi.
Yah hapo ni lazima tuseme na sio kuwachekeaDuhhhhhhhhhhh kweli tumetofautiana.. Haaaa hata mimi nikiona hili mh hili hapana namchana hapo sio penyewe hapo achana napo.
Fungua PM sasaHapana huo mchezo mi suchezagi.
Oooh! yeeeeaaaap![emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
I like that.. Mikogo..
huogopi kipindupindu?..Mkuu mapenzi tukimaanisha yale ya chumbani ni full uchafu wewe ukijifanya unaogopa uchafu tutakusaidia tu tusioona kinyaa
Yah mamiiKweli mamy kuna watu hawafai haki tena
Khakhaakhaaaaa Smart911 my king nakugawa asee si kwa utani utani ule unanifikishia ujumbe mwee! Thanks bebee napenda sana ule utani wako.mahondaw wangu...
Kila mtu anavile vitu hupendelea na kutopendelea... Ana vitu anajua na ambavyo hajui... Ana vitu angependelewa kufanyiwa au kufanya ila hajui mwenza wake atachukuliaje...
Tatizo linakuja, je unachojua na kukipenda wewe mwenzio atafurahishwa nacho pia...
Kulijua hilo, kuna njia sahihi za kuelezana wenza... Yale kila mmoja angependa kufanyiwa na mwenzake yanayomfurahisha...
Njia za mazungumzo ya kiutani utani bila kumfanya mwenzio kujihisi vibaya... Mkishafikishana ujumbe kwa njia hiyo, kwenye kutenda sasa kila mtu atakuwa na kumbukumbu ya nini amfanyie mwenzake....
Kama anajielewa lazima afurahie ukimfungukia.Yeah binafsi sipendi kumuonea aibu huwa namwambia baby wanguuuueeeeeee eee mwenzio apa hivi pale vileee sasa sijui ananichukuliaje mungu wangu! [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Naile yahivi ileee ya juzi natamani kila siku uinifanyie mwenzio.. [emoji12]
Kama anajielewa lazima afurahie ukimfungukia.
Mimi napenda mwanamke muwazi anakufanya ukikutana naye kwenye game ujue nini cha kufanya.
Mapenzi ni uchafuMapenzi lazima yawe na mipaka. Yakizidi sana ya kufurahisha
Unakuwa utumwa na uchafu.
Hellooow dears! [emoji113]
Mahusiano yanahusu hapa especially kwenye suala zima la kutaka kufurahishana/ kufikishana kunako
Kuna vitu fulani fulani kila mmoja anapenda sana kufanyiwa au alikua akifanyiwa vinamkuna sana kiasi cha mtu kukubali kuwa babaa/ mamaa hii babkubwa yani mulemuleeee noma sana hii. I like that.
Ikawa si riziki ukapata mwingine Nae ana maujuzi yake kwa dizaini yake anakufanyia makeke anayojua yeye.
Je linapokuja suala letu lilee nahuyo mnew wako unaweza mwambia ukinifanyie hivi / vile huwa nasikia raha sana. Au ndo mpo hapo mnafanya yenu unaweza mwambia fanya hivi fanya vile ukimaanisha kukufanyia baadhi ya mikogo uliokuwa unafanyiwa ambayo ilikumarliza kama sehemu ya kuongeza manjonjo na furaha katika pendo lenu jipya ???
Nawewe kama ndo huyo mchuchu mnew unayeelezwa hayo sasa how will you feel ??
Wewe kama wewe unapenda kipi akwambie nifanyie hivi/ vile au achune tu uparangane nae unavyojua Wewe??!
Jamani Maswali ya uchokozi sitaki. Tufocus kwenye mada.
Mahondaw wa Smart911
Lol! huko kwenye mila hawafanyiwi haya kweli??? [emoji15] [emoji15] [emoji15]Hii ni ngumu sana kwa mtoto wa kike ambaye ni mfuasi wa mila na desturi za kitanzania kwa mana anajua nn mana ya staha Kwa mtoto wa kike, ila kwa wale .com na awe wamekubuu kwenye haya mambo inawezekana kusema hivyo bila aibu....
Sio makahaba tu rafiki wengine wa kawaida tu ila wapo makini sana yanapokuja hayo masuala.. Ni balaaYani ukijifanya una kinyaa wapo makahaba watafanya hiyo kazi uanze kutafuta mchawi
Sent using Jamii Forums mobile app
hujanijibu bado.Sio makahaba tu rafiki wengine wa kawaida tu ila wapo makini sana yanapokuja hayo masuala.. Ni balaa