profftobe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 906
- 940
Basi wewe shujaa! Maana mashujaa huwa hawaogopi lolote.Sijui kama kweli. Ila kwa upande mi nilio tunaishi nao mpaka kwenye mahusiano
Basi wewe shujaa! Maana mashujaa huwa hawaogopi lolote.Sijui kama kweli. Ila kwa upande mi nilio tunaishi nao mpaka kwenye mahusiano
Watapata nini na kwa maelezo yako hakuna ukimwiHaya ndiyo mnayo yataka.
Ila kwa kawaida anaweza akawa hana hata hiyo H.I.V, maana nasikia sikia wakisema walau upime mara tatu, mara zote hizo ukikutwa na umeme, hapo ndiyo uhakika kuwa upo Gridi ya taifa.
ila kwakua ndiyo mara ya kwanza anaenda kucheki afya, siyo mbaya, aende tena na tena (nadhani anapaswa aende kupima tena baada ya miezi mitatu)
Niseme tu, mimi siamini katika ukimwi, naamini sana kuna magonjwa mengi ya zinaa, ila siyo ukimwi,
na ukiona binti amekuwa mzigo kwako, uje PM Uniunganishe naye.
My take; MNAOENDA KUPIMA UKIMWI, MNACHOKITAFUTA HUKO KWENYE KUPIMA, NAWAAMBIA LAZIMA MTAKIPATA.
Sasa unajuaje kuwa tayari kaambukizwa na hujampima mwanao?Hapana yeye ndio kaambukiza huyu binti toka aje hapa kwangu ni mwezi na nusu tuuu
Kazini na Mbuzi wewe mwenye akili!
Hata hawara mkimaliza nae 6 months jua ni mkeo huyo.Mke ni halali lakini uzinzi Biblia imekataza Bosi[emoji28][emoji28]
b
Hata hawara mkimaliza nae 6 months jua ni mkeo huyo.
Wewe bado mtoto mdogo, hujui usemalo. Hivi unajua kuwa ikitokea mkamuudhi huyo binti inakuwa rahisi kwake kumalizia hasira kwa watoto? Tena kwa kuwaambukiza kwa makusudi ili kukomoa kwa kutumia mfano miswaki au kama ni kitoto cha kiume kukilazimisha kufanya mapenzi? Hujawi kusikia visa kama hivyo???
Huyu jamaa atakuwa alionja amor, ndio maana anasema utamu wenye maumivu. Hapo alipo anawaza sijui na yeye akapime ama aache?
Kwa hiyo uko tayari kuchukua hiyo risk? Mimi nakwambia huko kujifanya una huruma hujawahi kuishi na mabinti wa kazi. Kuna tatizo gani nikigundua anaumwa nikamrejesha kwao kuepuka madhara kwangu? Kwani hivyo nikumyanyapaa?Hiyo ni moja ya mbinu ya mtu kutekeleza mauaji. Ila siyo mbinu pekee ya mtu kutekeleza mauaji.