Utamu wenye maumivu

Utamu wenye maumivu

Update:
Mungu wangu mida hiii nimehoji mabarobaro ninaokaa nao 2 watoto wa dada angu nimewauliza kua kuna aliowahi kutembea na binti huyu 1 wao amekiri kutembea nae hapa nilipo tumbo linaniuma yaaani nilipanga nimpe 1M nikimrudisha kwao ila nimehairi simpi hata 100.
 
Aiseeeee PEP zina muhusu
 
Kwani umesha waambia full story.

Hayo ndo matatizo, na kama walikuwa wana nyonyaa na K [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Update:
Mungu wangu mida hiii nimehoji mabarobaro ninaokaa nao 2 watoto wa dada angu nimewauliza kua kuna aliowahi kutembea na binti huyu 1 wao amekiri kutembea nae hapa nilipo tumbo linaniuma yaaani nilipanga nimpe 1M nikimrudisha kwao ila nimehairi simpi hata 100.
We mpe tu huenda huyo mtoto wa dada yako ndo aliemwambukiza binti wa watu.
 
Update:
Mungu wangu mida hiii nimehoji mabarobaro ninaokaa nao 2 watoto wa dada angu nimewauliza kua kuna aliowahi kutembea na binti huyu 1 wao amekiri kutembea nae hapa nilipo tumbo linaniuma yaaani nilipanga nimpe 1M nikimrudisha kwao ila nimehairi simpi hata 100.

aisee, jamaa yupo gridini nae,
 
Ningelikuwa ni mimi nisingemwachisha kazi. Kwa kuwa mtu kuja kufanya kazi za dani(house maid) asilimia kubwa huwa ni watu wa uchumi wa chini. Hivyo ningemchukulia kama sehemu ya familia yangu na ningeendelea kumjari. Sasa huko vijijini ndo kabisaa hawana hata elimu ya vvu na ukimwi. Ni wengi wa habari pia ni wepesi wa kunyooshea mtu kidole. Mtu mmoja akijua kijiji kizima kimejua. Full kunyanyapaliwa. Ila mi najiuliza hivi watu wengine mnaishi dunia ipi au mimi ndo niko dunia nyingine. Maana mnaona ni maajabu sana kusikia kuwa mtu ana HIV+? Vitu vingine ni kuangalia fulaha ya kila mtu na uiwezeshe.
Binafsi naumia nikiiona mtu ana mnyanyapaa mtu kisa hiv maana ni ugonjwa kama magonjwa mengine mengine na huenda HIV ndio ugonjwa wenye nafasi kubwa kwa wanadamu kwasababu ya mazingira na kinachosababisha
Kuepuka ni kwa neema ya Mungu maana upo katika njia nyingi
 
Update:
Mungu wangu mida hiii nimehoji mabarobaro ninaokaa nao 2 watoto wa dada angu nimewauliza kua kuna aliowahi kutembea na binti huyu 1 wao amekiri kutembea nae hapa nilipo tumbo linaniuma yaaani nilipanga nimpe 1M nikimrudisha kwao ila nimehairi simpi hata 100.
Sasa hata ukimnyima inakusaidia nini. Watu huwa hamuangalii mtu kafanya jambo flani kwa sababu gani. Sasa nakupa kitu kimojs hiki uelewe. Mara nyingi house girls hutembea na wanafamilia wa mwenye nyumba kwa lengo la kulinda kazi yao. Huyo bint hakutembea na hao vijana kwa lengo la kuleta maradhi kwenye himaya yako. Kumfukuza bila kumpa hata mia wewe utakuwa mnyanyapaaji wa mjini na msomi. Yaani nyinyi mlio mjini na mnajua kusoma na kuandika bado mnanyanyapaa watu wenye HIV+ je sisi tuliokijijini na hatujui hata vijarida vinavyolushwa kwenye tv tuwafanyeje. Lakini pia bora kwa kuwa unasimu mfungulie nadharia za dispecion hapa jf huenda ikamweka nomal kisaikologia na manufaa huko aendako
 
Ningelikuwa ni mimi nisingemwachisha kazi. Kwa kuwa mtu kuja kufanya kazi za dani(house maid) asilimia kubwa huwa ni watu wa uchumi wa chini. Hivyo ningemchukulia kama sehemu ya familia yangu na ningeendelea kumjari. Sasa huko vijijini ndo kabisaa hawana hata elimu ya vvu na ukimwi. Ni wengi wa habari pia ni wepesi wa kunyooshea mtu kidole. Mtu mmoja akijua kijiji kizima kimejua. Full kunyanyapaliwa. Ila mi najiuliza hivi watu wengine mnaishi dunia ipi au mimi ndo niko dunia nyingine. Maana mnaona ni maajabu sana kusikia kuwa mtu ana HIV+? Vitu vingine ni kuangalia fulaha ya kila mtu na uiwezeshe.
Mkuu easy saying difficult experiencing! Hivi unafikiri kazi rahisi kuishi na mtu mwenye HIV? Watu wanawakimbia hadi ndugu zao wa damu.
 
Mhhh wacha nijitathmini njia zangu asee.
 
Najitahidi ila hizi dawa akizila utamuonea imani zinamwisha nguvu analala tuuu baada ya kuwa yeye mfanyakazi sasa mimi ndio nimekua mfanyakazi namuhudumia yeye
Yaan unavoeleza najikuta kuwaza km vile ulitaka kupitia
 
Ningelikuwa ni mimi nisingemwachisha kazi. Kwa kuwa mtu kuja kufanya kazi za dani(house maid) asilimia kubwa huwa ni watu wa uchumi wa chini. Hivyo ningemchukulia kama sehemu ya familia yangu na ningeendelea kumjari. Sasa huko vijijini ndo kabisaa hawana hata elimu ya vvu na ukimwi. Ni wengi wa habari pia ni wepesi wa kunyooshea mtu kidole. Mtu mmoja akijua kijiji kizima kimejua. Full kunyanyapaliwa. Ila mi najiuliza hivi watu wengine mnaishi dunia ipi au mimi ndo niko dunia nyingine. Maana mnaona ni maajabu sana kusikia kuwa mtu ana HIV+? Vitu vingine ni kuangalia fulaha ya kila mtu na uiwezeshe.
Wewe bado mtoto mdogo, hujui usemalo. Hivi unajua kuwa ikitokea mkamuudhi huyo binti inakuwa rahisi kwake kumalizia hasira kwa watoto? Tena kwa kuwaambukiza kwa makusudi ili kukomoa kwa kutumia mfano miswaki au kama ni kitoto cha kiume kukilazimisha kufanya mapenzi? Hujawi kusikia visa kama hivyo???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom