Utamu wa serikali

danny virus

Member
Sep 7, 2016
9
1
Pengine mawazo yangu yakawa tofauti na mtazamo wako "samahani" acha niulize swali hapa serikali imeongeza viwango vya ufahuru katika elimu ya juu wakati elimu ya msingi bado tunashuka....ivi nibusara gani imetumika katika hili.
 
Hebu fafanua kuhusu huo kuongezwa kwa viwango vya ufaulu. Vilikuwa kiasi gani na vimeongezwa na kuwa kiasi gani.
 
Back
Top Bottom