Infopaedia
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,234
- 1,501
To be honest mwana, nampongeza sana shemeji. Kapata bonge la bwana. Hata wakina Sepenga na Ruty wajipitishe kama waiper za bajaji, sidhani kama roho inakushtuka. Maana bata ulizokula ni za nxt level. Kina dada, provided blood test ni -ve, hawa ndio wanaume wa kutulia nao sasa!!. Chukua tano mwanaume mwenzangu.😛