Bangida JF-Expert Member Joined Mar 20, 2022 Posts 2,443 Reaction score 11,503 Mar 20, 2022 #1 Wakuu, kwema? Baada ya muda kidogo wa kuwa guest member na kuona yanayoendelea katika majukwaa mbalimbali, its fair to say kuna mengi nimejifunza na pia kuna mengi ya kujifunza zaidi. Hivyo sasa nimeamua rasmi kuwa member wa JF. Aluta continua.
Wakuu, kwema? Baada ya muda kidogo wa kuwa guest member na kuona yanayoendelea katika majukwaa mbalimbali, its fair to say kuna mengi nimejifunza na pia kuna mengi ya kujifunza zaidi. Hivyo sasa nimeamua rasmi kuwa member wa JF. Aluta continua.
Thad JF-Expert Member Joined Mar 14, 2017 Posts 13,402 Reaction score 31,658 Mar 23, 2022 #2 Karibu sana
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,804 Reaction score 110,034 Mar 24, 2022 #3 Karibu sana JamiiForums...
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,751 Reaction score 1,251,444 Mar 24, 2022 #4 Karibu
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,391 Reaction score 59,148 Mar 24, 2022 #5 Watu8 said: Karibu sana JamiiForums... Click to expand... Bado kidogo nikuTag mwenyekiti wa kamati ya mapokezi😂
Watu8 said: Karibu sana JamiiForums... Click to expand... Bado kidogo nikuTag mwenyekiti wa kamati ya mapokezi😂
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,804 Reaction score 110,034 Mar 24, 2022 #6 Yna2 said: Bado kidogo nikuTag mwenyekiti wa kamati ya mapokezi😂 Click to expand... Karibu tuwe sote mabawabu Yna2 ☺️...
Yna2 said: Bado kidogo nikuTag mwenyekiti wa kamati ya mapokezi😂 Click to expand... Karibu tuwe sote mabawabu Yna2 ☺️...
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,953 Reaction score 56,082 Apr 23, 2022 #7 Karibu sana mkuu
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,816 Reaction score 13,772 May 4, 2022 #8 Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.