Utamu wa mpunga

MaShaAllah Mungu ampe afya na amkuze..... suali naomba munijuze huo mkanda/uzi mweusi mguu wa kushoto na ringi ya chuma mguu wa kulia ni nini? nitafurahi atakae nielimisha!!
cuteboy
 
Mkuu labda utanisaidia:-
MaShaAllah Mungu ampe afya na amkuze..... suali naomba munijuze huo mkanda/uzi mweusi mguu wa kushoto na ringi ya chuma mguu wa kulia ni nini? nitafurahi atakae nielimisha!!

ni urembo tu wa kiimani ..... kama vila mmasai akimtoboa mtoto masikio/mmakonde akimtoboa mtoto lips utauliza ni kwa nini?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…