Harvest
Member
- Jan 3, 2013
- 55
- 31
Utamu wa maisha ni pale unapojua kuwa unahitaji maisha ya aina fulani.
Japokuwa tunaumizana kila siku hiyo haipunguzi wingi wa harusi kila uchao kwenye majumba ya ibada na serikalini.
Nami leo nimeamua kuachana na kuwaza maumivu na kuamua kuingia kwenye ndoa.
Kama wewe mwanamke na unajua kabisa unahitaji ndoa hebu nitafute PM.
Mii niko Mwanza,kazi yangu ni ya kawaida tu,tutaongea zaidi ukinitafuta.
Umri wangu ni zaidi miaka 30 yaani niko above 30.
Aina ya mwanamke ninaemhitaji ningependa sana awe na miaka zaidi ya 27 na kuendelea na zaidi sana zaidi ya 30 ndio itakuwa poa na hao ndio nitawapa kipaumbele.
Kimsingi mwanamke ambae ana umri mkubwa ndio ambae anaweza kujua umuhimu wa hii kitu japokuwa hata wadogo wapo lakini ni wachache.
Hebu fanya unitafute tuongee mambo ya msingi ya ndoa tafadhali.
Ni PM tafadhali