MAKRESH MMAKA
Senior Member
- Apr 14, 2013
- 155
- 19
Utamu wa mahaba umpate anae kupenda nawe ukampenda.mkapendana kama mapacha wa kufanana mkilia mnalia pamoja mkicheka nanyi mnacheka pamoja lakini co kwenye shida uko pekeyako kwenye raha mko pamoja hapo ujue unachunwa na kuna wanaomega embe dodo lalo kisela
Marehemu bibi yangu alikuwa akisema. 'Adui yako muombee apende asiye mpenda maana mateso yake'
Mapenzi ni kama kucheza mduara. Umeshikwa kiuno na mwingine, ambaye na anaenjoy kushikwa na mwingine, we umemshika mwingine, anaenjoy lakini naye kashika wa mbele yake.... Hata haielezeki...Hivi kweli dunia ya leo kuna watu wangapi wanapenda wanapopendwa!
Kubwa la maadui, I miss you!!Hivi kweli dunia ya leo kuna watu wangapi wanapenda wanapopendwa!
Mapenzi ni kama kucheza mduara. Umeshikwa kiuno na mwingine, ambaye na anaenjoy kushikwa na mwingine, we umemshika mwingine, anaenjoy lakini naye kashika wa mbele yake.... Hata haielezeki...
Mapenzi ni kama kucheza mduara. Umeshikwa kiuno na mwingine, ambaye na anaenjoy kushikwa na mwingine, we umemshika mwingine, anaenjoy lakini naye kashika wa mbele yake.... Hata haielezeki...
yote yanawezekanaMapenzi ni kama kucheza mduara. Umeshikwa kiuno na mwingine, ambaye na anaenjoy kushikwa na mwingine, we umemshika mwingine, anaenjoy lakini naye kashika wa mbele yake.... Hata haielezeki...
Ukinuna unataka tunune wote, ukilia unataka tulie wote,
Vita vyote tumepigana wote, kama kushinda tushinde au bora tufe wote,
Kama kulima tumelima wote, kupanda tumepanda wote,
kupalilia tumepalilia wote, aaaah!! Nashangaa mbona sasa hatuvuni wote?
:violin::bange::majani7::majani7::majani7::majani7::violin:
hivi kweli dunia ya leo kuna watu wangapi wanapenda wanapopendwa!
hivi bado yapo hayo mapenz ya hivyo. Mie mezoea kuyaona kwenye movie..........
yapo au ndo demu wako hana ayo ya dhat[/QUOTE
mie ni she sio he..........yapo au ndo demu wako hana ayo ya dhat[/QUOTE
BAC WEKA KINYUME CHAKE NA KAMA NDIVYO ALIVYO UMEULA WA CHUYA KWA UVIVI WA KUCHAGUA