Utamu wa mabasi ya mwendokasi

Utamu wa mabasi ya mwendokasi

*Kitu pekee ninachokipenda kwenye mabasi ya _ 'mwendokasi'_ ni kuwa ukipanda hata ukikutana na unayemjua roho haikupasuki kumlipia nauli*
Hili tamko ni zaidi ya matamko,nadhani hata Maalimu Seifu na Ukawa wanalionea wivu hili tamko,kwenye ''mwendokasi''kila mtu anabeba msalaba wake.
 
Inabidi mie nitoke huku mkoa nije uaraka Dar nifaidi utaku huo wa mwendo kasi.

Atakayetaka tupande pamoja, tutaambiana siku na muda humu na labda tutakutana. Ubungo napitaga tu sasa nitashuka toka mwendo kasi, nikapaangalie vizuri. Usafi si bado wanaendelea au?
 
Vile Vile 'machungu' mengine ya mabasi ya mwendo kasi ni kwa kuwa hawana cha ofa za walimu wala wajeda.

Kwa kuwa mashine za DART hazimtanbui Mwalimu wa Makonda wala wale walinda usalama wetu.
Sisi tuliozowea staff hakuna!!!!!!!!
 
*Kitu pekee ninachokipenda kwenye mabasi ya _ 'mwendokasi'_ ni kuwa ukipanda hata ukikutana na unayemjua roho haikupasuki kumlipia nauli*

mm ilinipasuka baada ya kukutana nae kwenye foleni afu niko mbele yake. mbaya zaidi nafika kwa mkata ticket anauliza unalipia wawili, nikagoma, baada ya mwenzangu kufika ana 10,000 change shida ikabidi nilipe tu.
 
Back
Top Bottom