Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,870
- 155,833
huyo ataachilia huyo muda si mrefu....
Anaonekana muoga kabisa
post of the year!!!
Ukifuata sheria za Infii huwezi fika hapa..............
yaani sijui ndo chozi au jasho lamtoka....
Mimi naona vyote kwa pamoja
huyo ataachilia huyo muda si mrefu....
Hapo kajishikiza ghorofa ya 53, akijiachia tu anakufa kabla hata hajafika chini
huyo ataachilia huyo muda si mrefu....
aende wapi wakati yopo top floor ghorofa kama mkapa tower!!:redfaces:
jamani eti watu wenye matumbo ka huyo jamaa aliye ibiwa hapo pichani ushiriki wao kwenye kunanihiina ni mdogo?
NO OFFENCE!
jamani eti watu wenye matumbo ka huyo jamaa aliye ibiwa hapo pichani ushiriki wao kwenye kunanihiina ni mdogo?
NO OFFENCE!