Utamu wa lnfidelity

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,457
154,323
20101122135623_curh.jpg
 
Jamaa macho yamemtoka akiangalia fuvu anajua naye anakoelekea ni huko huko infidelity zingine bana ni balaa, huyo ndugu fuvu sijui alikomaa hapo kwa muda gani hadi akawa hiyo
 
Ndo maana mi natafuta dawa ya kukitokomeza hiki kitambi kinachoninyelea kwa kasi.
Mambo ya ku under perform siyataki kabisa, kwanza hamna dhambi ninayoipenda kama kuruka ruka kwenye KIMPOMPWISO
jamani eti watu wenye matumbo ka huyo jamaa aliye ibiwa hapo pichani ushiriki wao kwenye kunanihiina ni mdogo?
NO OFFENCE!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom