hahha haha ndiyo nakuambia gongo ndo tamu asikwambie kitu....Usiniambie Rose1980, gongo??? kweli pombe noma ...tayari niko kwenye kiti kirefu miye...karibu!
mi najua gongo ndo tamu zaid.
Mkuu mbali na chang'aa kuna moja inaitwa pingu !wajua ni ya wapi? na inapikwaje???Kama vipi piga na dengerua (lile dude linawamwaga vibaya kule Kenya wenyewe wanaita Chang'aa). Hapo utakuwa fiti na raha yote ya pombe utaipata mwanawane.
Ila lazima tukuimbie....Umekwisha poteaaaa, umekwisha poteaa....wapotea mtoto mzuri kwa kunywa chang'aa
chimpumu chimsutu ,pepere ndo pombe zangu aya mambu ya distred watewr sjui tbl mi sytak....!!!Kama vipi piga na dengerua (lile dude linawamwaga vibaya kule Kenya wenyewe wanaita Chang'aa). Hapo utakuwa fiti na raha yote ya pombe utaipata mwanawane.
Ila lazima tukuimbie....Umekwisha poteaaaa, umekwisha poteaa....wapotea mtoto mzuri kwa kunywa chang'aa
unauliza ulanz tena?ata kugema nagema nakwambia....naupenda pale pale kwenue mti wake unakuwa mtaaaaaaaaaamu km juic ya delmonte!!Umewahi jaribu mbege au ulanzi?? kuna wazee hata uwape nini hawatoki kwenye hivyo vileo.
majengo siend tena .....majeeeeeengo send tena .......majengo siend tena kuna..........................!!!!!Kama vipi piga na dengerua (lile dude linawamwaga vibaya kule Kenya wenyewe wanaita Chang'aa). Hapo utakuwa fiti na raha yote ya pombe utaipata mwanawane.
Ila lazima tukuimbie....Umekwisha poteaaaa, umekwisha poteaa....wapotea mtoto mzuri kwa kunywa chang'aa
Umenikumbusha home jamani...ngoja nilie kwanza...ulanz ulanz ulanziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii pale tanangozi ndo home, kaning'ombe, ifunda na sehemu za idodi duuu!walahi ntarudi home.unauliza ulanz tena?ata kugema nagema nakwambia....naupenda pale pale kwenue mti wake unakuwa mtaaaaaaaaaamu km juic ya delmonte!!
usilie jaman...jikaze mpz...nyumban kupo2 na wooote awajambo...Umenikumbusha home jamani...ngoja nilie kwanza...ulanz ulanz ulanziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii pale tanangozi ndo home, kaning'ombe, ifunda na sehemu za idodi duuu!walahi ntarudi home.
Subiri nasi tufaidi kwanza then tutaacha, we unafikiri wote tukiacha kunywa wafanyakazi wa viwanda vya bia utawapa ajira???? na wakulima wa ngano utawapa ajira????na nani yuko tayari kupoteza kodi kubwa kutokana na bia...??? I LIKE BEER.rubisi ni noma... Jaribu ujue utamu.
Ila mimi nilishaacha siku nyingi,na kama unaweza nawe acha kabisa maana haina manufaa kwa afya na mwili na kwa ustawi wa jamii.
Tehe tehe teh tee ohooooo! thanx umenipoza maana ulinikuna kwa ulanz...vipi ndisaka ...aaah unaona nachapia ...nataka kujua kama ule ulanz mkali bado upo...jamani homeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ntakuja krismasiusilie jaman...jikaze mpz...nyumban kupo2 na wooote awajambo...
tunakusubr kwa hamu
usisahau kubeba bilauri cz atutumii tena mbeta kunywea ulanz....
Mkuu Muwaha leo umenikumbusha home, mkuu Safari_ni_Safari yupooooooooooooooooooooooo?????????????Sina uzoefu sana japo kwenye vyombo vya habari siku moja nilisikia wameitangaza sehemu moja Arusha inaitwa Matejoo. Unaweza uliza members wa Half-London (A-Town) wakakupa details zaidi
rubisi ni noma... Jaribu ujue utamu.
Ila mimi nilishaacha siku nyingi,na kama unaweza nawe acha kabisa maana haina manufaa kwa afya na mwili na kwa ustawi wa jamii.