muwaha
JF-Expert Member
- May 13, 2009
- 740
- 148
Wakuu JF,
Mimi binafsi napenda kunywa bia, naomba kufahamu kwa wale wanywaji hivi utamu na radha ya bia unaweza kuupata katika starehe zingine? kwangu mimi naona hapana! haswa ukinywa windhoek bariiiidi...!!!hebu wakuu kila mmoja aseme bia ipi tamu na kwa nini??? Merry X-mas to all watumiaji wa beer.