Utamu wa kileo (beer) ni kiasi gani?

muwaha

JF-Expert Member
May 13, 2009
740
148
Wakuu JF,

Mimi binafsi napenda kunywa bia, naomba kufahamu kwa wale wanywaji hivi utamu na radha ya bia unaweza kuupata katika starehe zingine? kwangu mimi naona hapana! haswa ukinywa windhoek bariiiidi...!!!hebu wakuu kila mmoja aseme bia ipi tamu na kwa nini??? Merry X-mas to all watumiaji wa beer.
 
Usiniambie Rose1980, gongo??? kweli pombe noma ...tayari niko kwenye kiti kirefu miye...karibu!
 
mi najua gongo ndo tamu zaid.

Kama vipi piga na dengerua (lile dude linawamwaga vibaya kule Kenya wenyewe wanaita Chang'aa). Hapo utakuwa fiti na raha yote ya pombe utaipata mwanawane.

Ila lazima tukuimbie....Umekwisha poteaaaa, umekwisha poteaa....wapotea mtoto mzuri kwa kunywa chang'aa
 
Umewahi jaribu mbege au ulanzi?? kuna wazee hata uwape nini hawatoki kwenye hivyo vileo.
 
Mkuu mbali na chang'aa kuna moja inaitwa pingu !wajua ni ya wapi? na inapikwaje???
 
Sina uzoefu sana japo kwenye vyombo vya habari siku moja nilisikia wameitangaza sehemu moja Arusha inaitwa Matejoo. Unaweza uliza members wa Half-London (A-Town) wakakupa details zaidi
 
rubisi ni noma... Jaribu ujue utamu.
Ila mimi nilishaacha siku nyingi,na kama unaweza nawe acha kabisa maana haina manufaa kwa afya na mwili na kwa ustawi wa jamii.
 
Kama vipi piga na dengerua (lile dude linawamwaga vibaya kule Kenya wenyewe wanaita Chang'aa). Hapo utakuwa fiti na raha yote ya pombe utaipata mwanawane.

Ila lazima tukuimbie....Umekwisha poteaaaa, umekwisha poteaa....wapotea mtoto mzuri kwa kunywa chang'aa
chimpumu chimsutu ,pepere ndo pombe zangu aya mambu ya distred watewr sjui tbl mi sytak....!!!
njoo uonje nakwambia autaacha....
 
Umewahi jaribu mbege au ulanzi?? kuna wazee hata uwape nini hawatoki kwenye hivyo vileo.
unauliza ulanz tena?ata kugema nagema nakwambia....naupenda pale pale kwenue mti wake unakuwa mtaaaaaaaaaamu km juic ya delmonte!!
 
Kama vipi piga na dengerua (lile dude linawamwaga vibaya kule Kenya wenyewe wanaita Chang'aa). Hapo utakuwa fiti na raha yote ya pombe utaipata mwanawane.

Ila lazima tukuimbie....Umekwisha poteaaaa, umekwisha poteaa....wapotea mtoto mzuri kwa kunywa chang'aa
majengo siend tena .....majeeeeeengo send tena .......majengo siend tena kuna..........................!!!!!
 
unauliza ulanz tena?ata kugema nagema nakwambia....naupenda pale pale kwenue mti wake unakuwa mtaaaaaaaaaamu km juic ya delmonte!!
Umenikumbusha home jamani...ngoja nilie kwanza...ulanz ulanz ulanziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii pale tanangozi ndo home, kaning'ombe, ifunda na sehemu za idodi duuu!walahi ntarudi home.
 
usilie jaman...jikaze mpz...nyumban kupo2 na wooote awajambo...
tunakusubr kwa hamu
usisahau kubeba bilauri cz atutumii tena mbeta kunywea ulanz....
 
rubisi ni noma... Jaribu ujue utamu.
Ila mimi nilishaacha siku nyingi,na kama unaweza nawe acha kabisa maana haina manufaa kwa afya na mwili na kwa ustawi wa jamii.
Subiri nasi tufaidi kwanza then tutaacha, we unafikiri wote tukiacha kunywa wafanyakazi wa viwanda vya bia utawapa ajira???? na wakulima wa ngano utawapa ajira????na nani yuko tayari kupoteza kodi kubwa kutokana na bia...??? I LIKE BEER.
 
usilie jaman...jikaze mpz...nyumban kupo2 na wooote awajambo...
tunakusubr kwa hamu
usisahau kubeba bilauri cz atutumii tena mbeta kunywea ulanz....
Tehe tehe teh tee ohooooo! thanx umenipoza maana ulinikuna kwa ulanz...vipi ndisaka ...aaah unaona nachapia ...nataka kujua kama ule ulanz mkali bado upo...jamani homeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ntakuja krismasi
 
Sina uzoefu sana japo kwenye vyombo vya habari siku moja nilisikia wameitangaza sehemu moja Arusha inaitwa Matejoo. Unaweza uliza members wa Half-London (A-Town) wakakupa details zaidi
Mkuu Muwaha leo umenikumbusha home, mkuu Safari_ni_Safari yupooooooooooooooooooooooo?????????????
 
rubisi ni noma... Jaribu ujue utamu.
Ila mimi nilishaacha siku nyingi,na kama unaweza nawe acha kabisa maana haina manufaa kwa afya na mwili na kwa ustawi wa jamii.

Shumalamu Waitu. Mie sinywi pombe nyingine zaidi ya rubisi. Si unajua mimi naishi Kabuteigi?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom