mie naanza kuichukia ijumaa coz............jumamosi naamka muda uleule hata nikiwa nimelala saa nane usiku!
ya wapi haya!!!!
shikamoo da Paloma
marhabaaaa........sidhani kama umeamka na hela - hiyo shkamoo inatengeneza mazingira ya kumchomoa mtu (madogo ndo huwa gear zao hizooo)
kama ulikuwa kwenye kichwa changu vile, ila inabidi nighairi sasa.
itakuwa una uwezo mkubwa wa kutambua mambo hata kwa maandishi, kwa hili nampongeza Sosolisoahahaaa..........nimekushtukia!!!
teeeeh.........sasa pongezi kwa sosoliso ya nini tena?