Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 353
Nilidhani u mtaalamu kwenye mambo ya ngono tu kumbe mpaka kweny e madawa umo kaka?
Nilidhani u mtaalamu kwenye mambo ya ngono tu kumbe mpaka kweny e madawa umo kaka?
Hahaahaaaa hapa kunadatishwa duh
......................
Kwa wanaoanza kutumia heroin kwa mara ya kwanza husikia joto, hupata muwasho wa ngozi na kutapika kwa sana. Wengi husema inahitaji kutumia mara kadhaa kabla ya kuanza kuipenda na kunogewa. Kama nilivyosema hapo awali, heroin ni painkiller, it kills both physical and emotional pain. Watumiaji husema kwamba unajiskia kama katoto kalikofunikwa kwenye baby shoo au pamba, unasahau matatizo yako yote na kujiona kama Bill Gates.Hii ndio sababu kubwa kwanini watu wengi wanaotumia heroin ni wale wenye matatizo makubwa na uhaba mkubwa wa furaha kwenye maisha yao.
Mkuu hivi ni kwa nini inakuwa vigumu kuacha kama mtu anapata side effect kama hizo hapo juu? Kwa jinsi mimi binafsi ninavyojiskia kitu chochote kitakachonifanya nitapike siwezi kukijaribu maishani, nashindwa kupata picha ni kwa nini hao watumiaji wanavumilia mateso hayo!!?
Many thanks lakini for the informative piece!
Hilo joto, muwasho wa ngozi na kutapika hufutia baada ya steam kukatika, kinachowachanganya watumiaji na kuwafanya watumie zaidi ni ule wakati ambao steam inakuwa iko mahali pake, unaambiwa ni utamu wa ajabu!
Burudani ya ibilisi haishi utamu ... the more unapata the more you want more till you lose yourself
Paku- watu wenye akili zao timamu watanishukuru kwa hiyo thread, I think its very infomative, ask me anything about drugs or substance misuse in general and I will answer you.
Kama una maumivu makali yanapotea, kama ilikua na hofu inakutoka, husikii njaa, husikii baridi, unakuwa umerelax na kuwa na furaha hata kama umefiwa na ndugu wa karibu. Steam yenyewe inaweza kukaa hadi masaa 6 ikitegemea na dose yenyewe unayojipiga ndo maana watumiaji wengine wanaingia tamaa na kuishia kujioverdose.Nilisikia kuwa Raha inayowafanya watu wavute madawa ni kama vile mtu akiwa anapata ORGASM ila hii inakuwa prolonged, ukiacha ila ya sekunde chache kwenye ngono, Hii ina ukweli gani Mkuu?
nilitaka kujua,ni kwa nini walio watumiaji sugu wa heroin wakikosa kupata kwa siku mmoja huwa wanaharisha na baada ya kupata huwa wanakata kuharisha
N;B KUHARISHA HUKO HUWA HAKUZUHILIKI KWA DAWA YEYOTE MPAKA APATE HEROIN
Hio kitu na unga kipi zaidi? Athari za kuishi mijini hizoNilisikia kuwa Raha inayowafanya watu wavute madawa ni kama vile mtu akiwa anapata ORGASM ila hii inakuwa prolonged, ukiacha ila ya sekunde chache kwenye ngono, Hii ina ukweli gani Mkuu?
Kana,Heroin, ambayo pia inajulikana pia kwa majina ya Brown, Smack and Skag kwa UK, ni dawa ambayo hutengenezwa kutoka kwenye mmea uitwao opium poppy. Hutumika kama kama dawa ya maumivu. Mitaani huuzwa kwenye vijipakti vidogo ikiwa katika hali ya ungaunga wa brauni.Watumiaji wa heroin huivuta kama sigara au bangi kwa kutumia pipes au yale makaratasi ya jikoni ya silver, wengine hujidunga kwa kutumia sindano. Wengi wanaovuta huapa kwamba hawatathubutu kujidunga lakini mara nyingi nao huingia kwenye mchezo wa sindano kwa kuwa ndio njia bomba zaidi kwa kupata steam ya chapchap na yenye kukupa thamani halisi ya fedha zako.
Kwa wanaoanza kutumia heroin kwa mara ya kwanza husikia joto, hupata muwasho wa ngozi na kutapika kwa sana. Wengi husema inahitaji kutumia mara kadhaa kabla ya kuanza kuipenda na kunogewa. Kama nilivyosema hapo awali, heroin ni painkiller, it kills both physical and emotional pain. Watumiaji husema kwamba unajiskia kama katoto kalikofunikwa kwenye ‘baby shoo' au pamba, unasahau matatizo yako yote na kujiona kama Bill Gates.Hii ndio sababu kubwa kwanini watu wengi wanaotumia heroin ni wale wenye matatizo makubwa na uhaba mkubwa wa furaha kwenye maisha yao.
Kama unatumia heroin mara kwa mara kuna uwezekano mkubwa ukawa addicted au ‘teja' kama wengi tunavyosema. Ukishakuwa teja inamaanisha utahitaji kutumia kila siku vinginevyo utakua physically ill kutokana na symptoms za kuwithdraw, na hii ndio inawafanya wengi washindwe kuacha, na pia ukizingatia kwamba watumiaji wengi hawana mengi ya kuwafanya wawe na furaha kwenye maisha yao zaidi ya kutumia huo unga. Ukishajikuta kwenye hali hii, inakua ukiamka asubuhi unakuwa unahitaji kutumia na mawazo yako yote ni juu ya namna ambavyo utapata pesa ili uweze kununua ‘unga' wa siku hiyo. Na inakuwa tabu sana kwa watumiaji sugu kwa kuwa wanahitaji kiwango kikubwa zaidi ili wapate steam, hii inamaanisha pesa zaidi na kwa kuwa wengi hawana ajira au means yoyote ya kipato, wanaishia kuingia kwenye uhalifu.
Heroin inaua kama mtumiaji atatumia kiwango kikuwa ambacho mwili wake hauwezi kukihandle, hii inaitwa Overdose na mara nyingi hutokea kama mtumiaji ata inject, na kuinject kuna ambatana na hatari za maambukizi ya magonjwa kama hep C, hep B na HIV kama watumiaji watashare sindano.
Utumiaji wa madawa ya kulevya umewasababishia watu wengi matatizo makubwa, wengine wamepoteza maisha yao kabisa, njia pekee na salama ya kuyaepuka yote haya ni simple- USITUMIE. Kama unatumia heroin, jitahidi usi inject- vuta tu, its safer na usisahau kuongea na wataalamu , kama wapo.
Naamini unaposema 'unga' unaanisha cocaine kama ambavyo wengi tumezoea kibongobongo kwa kuwa hiyo kitu inafanana na unga wa mahindi, lakini pia heroin iko kwenye form ya unga wa brown na inaweza kuwa smoked kama coke, ofcourse mtu akitaka ku inject ndo itabidi aichanganye na maji na kuichemsha kidogo kabla ya kujidunga.Hio kitu na unga kipi zaidi? Athari za kuishi mijini hizo