ukimpata mkunaji anaejua kukuna wote mtaupata huo utamu
ila kuna wakunaji wengine looh...we wawashwa mgongoni ye anakukuna miguuni
mh hapo umemaliza ...... maana hata wengine pa kuanzia hawapajui
hapo raha anaipata mkunaji na mkunwaji
Wadau,hivi kale kawimbo aliimbaga nani?Kanasema hv"mkunwa na mkunaji muona raha ni nani?Nimekasikiliza lakn sijapata jibu hivi ni nani hupata Monde(Utamu)?...
shkamoo H.O.E
mkunaji ndo maana huwa wanaomba kukuna... utafikiri tumesema tunawashwa..
Dunia hii ya leo wakunaji wachache sanaaaa!
Kuna kilio kikubwa sana kipande iyo ya pili. Sijui ni hizi chips au kisukari
Hapo kuna shida gani ili mradi mkunwaji na mkunaji wote wanapata utamuMkunaji anaweza kuwa mzuri ila anayekunwa sasa akawa tatizo! aingiziwe, atafuniwe na kumezewa yeye anataka kushiba tu!
Kwa hiyo wewe unataka kutumia line zote, TIGO na VODA? Mbona majangaTatizo wakunwaji wengine wamezidi masharti. Raha kwao ni kukunwa sehemu moja tu. Kwingine hata ufanye nn kuna ganzi ya kudumu. Sasa hiyo kazi ya kulenga sehemu moja muda wote ni Sawa na adhabu.
Dunia hii ya leo wakunaji wachache sanaaaa!
Kuna kilio kikubwa sana kipande iyo ya pili. Sijui ni hizi chips au kisukari
Hapo kuna shida gani ili mradi mkunwaji na mkunaji wote wanapata utamu
hahahaha inawezekana usiseme lakini ukaonekana una hitaji la kukunwa .......
Tatizo wakunwaji wengine wamezidi masharti. Raha kwao ni kukunwa sehemu moja tu. Kwingine hata ufanye nn kuna ganzi ya kudumu. Sasa hiyo kazi ya kulenga sehemu moja muda wote ni Sawa na adhabu.
mmh haya makubwa....sasa we unataka ukune pasipo na muwasho..?
mh hapo umemaliza ...... maana hata wengine pa kuanzia hawapajui