Ukisema ulikuwa arosto nitakuelewa ila kusema diet!,Napata kigugumizi kidogo. Soda hazishauriwi kiafya na ugali ni starch ( kisukari). Ni kwa nia njema tu, si kukashifu.

.mkuu,huku kwetu uswahilini unaposema diet unamaanisha kubadili msosi na sio kupangilia msosi kama wa kwenye sayansi kimu.jamaa aliamua kubadili menyu yake siku hiyoo