Utamu Umezidi Hapaaaaa

Wenzako sikukuu imetukalia upande, barbecue hilo linatutia hamu na uwezo wa kulipata hatuna.
 
Maakuli yametulia sana,lakini kumbuka haya yote ni mambo ya fweza!
 
Hayo mapande kweli sio nyama ya mtu.
 
sijaionja hiyo makitu lakini hakika waliokula wamefaidi.
 
Kwa spidi hiyo magonjwa hayaishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…