Utamu halisi wa mtoto wa Kipemba!!!

Utamu halisi wa mtoto wa Kipemba!!!

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
12,516
Reaction score
40,048
Pamoja na kuvaa mavazi ya staha na heshima kama dini yake inavyoelekeza, mtoto wa kipemba alifanya jambo moja ambalo sikulitarajia.Jambo ambalo liliirusha akili yangu maili elfu moja na kujikuta nikichanganyikiwa ghafla!

Ilikuwa ni tarehe 28.02.2014 majira ya saa saba mchana muda ambao nilitakiwa kuwa kwenye kikao wilaya ya Rumgwe maeneo ya Kyela.Tuliingia kwenye kikao kila mmoja na lake na sasa ilikuwa ni zamu yangu kuelezea niliyotakiwa kuyaeleza kwenye kikao kile.Nilizungukwa na watu mbalimbali kila mmoja akiwa na lake lililomleta katika kikao kile.Mbele yangu alikuwa amekaa msichana mrembo mweupe mwenye asili ya kisiwa cha Pemba.Msichana huyu alikuwa amevalia mavazi yake nadhifu yanayotumiwa na wanawake waumini wa dini moja kubwa duniani.

"Waheshimiwa kutokana na muda uliopo nitatoa takwimu za mambo ambayo nimeyafanya na ninayotarajia kufanya kwa muda wa siku ishirini na.............." Nilijikuta nikikatishwa niliyokuwa nayasema bila kutarajia hali ile! Ni mtoto wa Kipemba ambaye alibadili pozi la kuketi na kuamua kuuweka mguu wake wa kulia juu ya mguu wake wa kushoto 'aliandika nne' kwakutumia miguu yake.Hali ile ilifanya sehemu kubwa ya miguu yake kubaki wazi na kuyafanya macho yangu kujipumzisha katikati ya mapaja nadhifu ya bibie yule,mapaja yaliyokuwa yamefichwa sasa yalionekana dhahiri huku mimi nikiwa mhanga wa tukio lile! Jambo hili liliufanya moyo wangu kupasuka kwa mshituko na kujikuta kuanza kuchanganyikiwa huku hadhira ikinikodolea macho! Bibie yule wa Kipemba hakuishia hapo, aliendeleza uchokozi na hatua hii alianza kuuchezesha mguu wake wa kulia na kunifanya mimi nione ndani zaidi! Niliinamisha kichwa chini huku nikijidai kama mtu aliyepata maumivu ya kichwa ghafla.Alikuja jamaa mmoja kutoka katika ile hadhira na kunisaidia kutoka njee huku wenzangu wakiendelea kustaajabu yaliyokuwa yakiendelea!

Baada ya muda mfupi niliona wenzangu wakitoka nje huku kila mmoja kwa wakati wake akija kunijulia hali na kunipa pole.Baada ya muda mfupi sasa ilikuwa ni zamu ya mtoto wa Kipemba kutimiza ubinaadamu wake kwangu kwa kunijulia hali."Kaka pole sana,ulipatwa na nini?" aliuliza bibie yule kutoka Pemba huku macho yake yaliyoonekana dhahiri kujaa huruma yakiivaa sura yangu.Nilibaki nikimtazama bibie kwa muda huku akili yangu ikitathimini mambo mbalimbali kutoka katika mwili mwa bibie wa Kipemba.

"Laiti kama angejua kuwa yeye ndiye aliyenisababishia majanga! Lakini mtoto kaumbika jamani,Cheki macho na lipsi! cheki sura na umbo! kwa hakika alistahili kunivuruga" Niliwaza na kuwazua huku nikiendelea kumkodolea macho! "Aaahh am sorry ila usijali maana hata kikao kimeahirishwa,ugua pole kaka yangu" Aliniambia hayo huku akinipa kisogo.Ile kugeuka tu ikawa shida! Mtoto ana wezere jamani! Niliishiwa uzalindo nikamvuta kumuashiria kuwa hakustahili kuondoka. Naye bila hiyana akasogea karibu yangu.

"Dada mimi naitwa G... nashukuru sana kwa kunijali" nilimsemesha dada wa Kipemba......."oooh usijali G.... hayo ni mambo ya dunia, mimi naitwa Hadija natokea NSSF" alinijibu...."Okey Hadija nashukuru kukufahamu mimi natokea CRDB makao makuu na hapa tumekuja kukagua jengo letu kuangalia ujenzi unavyoendelea, nadhani na wewe umekuja kwa shughuli hiyo maana NSSF nao ni miongoni mwa wamiliki wa jengo" "Definetely" alijibu Hadija.

" Okey G......... mimi nataka niwahi Mbeya mjini ili nikate tiketi ya ndege maana nilikuja na ndege mpaka Iringa kwani tulikuwa na mradi mwingine" aliniambia Hadija...."Usijali Hadija, kama ni hilo tu maana mimi nimekuja na ndege ya Precision PW 470 na natarajia kurudi dar na hiyohiyo Precision PW 471, kama hutojali unaweza kukata tiketi ya Precision" nilimuelezea mrembo......."Mimi nilikuja na fast Jet ila naweza kukata tiketi ya Precision" alinijibu Hadija..."Okey twende zetu basi Hadija" nilimuelezea huku tukishika njia kuelekea kwenye gari....."Unajisikiaje lakini G.....?" "Aaah najisikia nafuu kwa sasa Hadija, kadiri muda unavyoenda nadhani nitapata nafuu tu...." Oooh pole sana G...." "Asante sana Hadija"

Tulichukuana na Hadija hadi kwenye gari yetu ya CRDB Mbeya branch kuanza safari ya kutoka Kyela hadi Mbeya mjini, safari ambayo huchukua wastani wa masaa matatu na nusu.

Tulifika Mbeya mjini na kumsindikiza Hadija hadi Songwe mahali ambapo tuliweza kukata tiketi ya Precision kwa ajili ya yake kwani mimi nilikuwa na tiketi ya kwenda na kurudi.Ratiba ilionyesha kuwa ndege ya PW 471 ingeondoka Songwe kesho yake muda wa saa nane na dakika arobaini na tano kuelekea Dar.

Baada ya hayo yote sasa ilibidi tutafute hoteli kwa ajili ya kujipumzisha tayari kwa safari ya kesho yake.Akili yetu ilitupeleka moja kwa moja hadi kwenye hoteli ya Forest ambayo ilikuwa karibu na ilionekana kutufaa zaidi.

Sasa tulikuwa lango la hoteli ya Forest tayari kwa kufanya booking ya vyumba...Alianza Hadija kujichagulia chumba huku mimi nikibaki nikiwa nimetulia ili amalize kazi yake.

..............Haya sasa mtoto wa Kipemba aliyenipagawasha nipo naye katika pilika pilika za kutafuta malazi.......nini kitatokea? Tukutane kesho.......Enjoy
 
Mmh
Tungo/Riwaya/Hadithi/Hekaya!!!!!
 
Mambo yanayotokea kwenye maisha mkuu!

Hongera sana ikiwa kama yanaukweli Mkuu japo wataalam watakuja kuichambua hii yako ili baadaye utupe mjini...........twende huko pia tutajua hadithi yako inatufundisha nini huko Kyela na Mpemba wako.
 
mabinti wa kizenji wana mengi yaliyofichika!

ushawahi kujiuliza wanaingiaje club na kwenye kumbi za starehe??

ushawahi kujiuliza wanagegedwa vipi huko zenji wakati guest houses hazipo huko??

ushawahi kujiuliza kwanini siku hizi zenji bikra hazipo tena??

Mkuu na yale mavazi yao ukiwafunua unaenjoy asikwambie mtu!!!
 
Haya mambo ya itaendelea haya unayapenda kweli.
 
ole wako agundue una mtoto wa kitanga kizaramo kimanyema na kimakonde maji utaita mma
 
mabinti wa kizenji wana mengi yaliyofichika!

ushawahi kujiuliza wanaingiaje club na kwenye kumbi za starehe??

ushawahi kujiuliza wanagegedwa vipi huko zenji wakati guest houses hazipo huko??

ushawahi kujiuliza kwanini siku hizi zenji bikra hazipo tena??

Excel mabinti wa kizenji ni wachafu wa ngono wamepitiliza...! Ukienda kule kisiwa cha kobe utaona maajabu ya shetani jinsi anavyotawala dunia
 
Mwongo Pemba wala Unguja hakuna NSSF umetunga au una meditate, na wala hakuna Hadija kuna Khadija:yield:

Km kweli alikuwa amevaa mavazi yao usingeweza kuona sehemu ya paja uongo mwingine:flypig:
 
Mkuu nimeandika kuwa tulikuwa tunarudi dar..Kwa swala la jina alinitamkia hivyo kama ni kosa basi nisingeweza kulitambua!
 
Wewe na JK ni wale wale ambao wanaogopa Muungano kuvunjika eti
 
" Okey G......... mimi nataka niwahi Mbeya mjini ili nikate tiketi ya ndege maana nilikuja na ndege mpaka Iringa kwani tulikuwa na mradi mwingine" aliniambia Hadija...."Usijali Hadija, kama ni hilo tu maana mimi nimekuja na ndege ya Precision PW 470 na natarajia kurudi dar na hiyohiyo Precision PW 471, kama hutojali unaweza kukata tiketi ya Precision" nilimuelezea mrembo......."Mimi nilikuja na fast Jet ila naweza kukata tiketi ya Precision" alinijibu Hadija..."

Iringa FASTJET hawatui mkuu wala PW, labda ungesema Auric au Flightlink... Umebug
 
Mkuu na yale mavazi yao ukiwafunua unaenjoy asikwambie mtu!!!
nimepewa news kwamba zenji wakiendaga club, wanakuwaga na mabaibui kwanza wakiwa wanatoka home,
then wakifika tu mahali fulani, baibui zinapigwa chini, watoto wanabadilika na kuwa kama rihanna!!

then full kwanja mpaka mornie! after there, nguo zavaliwa tena kininja, life goes on!
 
Iringa FASTJET hawatui mkuu wala PW, labda ungesema Auric au Flightlink... Umebug

PW ndiyo hawatui ila fast jet wanatua hizo Auric ni vindege vinatua hata viwanja vya kata!
 
sheikh mimi hunikuti kesho maana nimeshajua paukwa yako itaishaje,ulitakiwa utuache na suspense!!.
 
PW ndiyo hawatui ila fast jet wanatua hizo Auric ni vindege vinatua hata viwanja vya kata!

Mwizi wewe. Ule uwanja wa Iringa huwezi kutua na Airbus 319 huku una abiria na mizigo. Bora hata PW tungeweza kulazimisha na sio Fastjet, Wadanganye haohao mburula wenzio.
 
Back
Top Bottom