Utamu halisi wa mtoto wa Kipemba!!!

Utamu halisi wa mtoto wa Kipemba!!!

Rungwe na kyela mbona ni wilaya tofauti sana mr.?? Ilikuwaje ukawa kikaoni Rungwe maeneo ya Kyela..na kutoka kyela mpaka Mbeya mjini sio masaa 3 na nusu...labda ka mnatumia baiskeli..buni vizuri asee.
 
Yaani lile vazi refu la kiislam afu dem kunyanyua mguu tu kuweka nne we ukaona mpaka paja??? Haha...haiwezkani bhana..
 
mabinti wa kizenji wana mengi yaliyofichika!

ushawahi kujiuliza wanaingiaje club na kwenye kumbi za starehe??

ushawahi kujiuliza wanagegedwa vipi huko zenji wakati guest houses hazipo huko??

ushawahi kujiuliza kwanini siku hizi zenji bikra hazipo tena??
Excel,Leo mtu wangu umenikwaza, ivi unataka kunambia Zanzibar hakuna ma bint Bikra?
 
Mtoa mada Zanzibar hakuna NSSF kuna ZSSF,na wewe ulikua karibu kiasi gani mpaka uone vilivyo fichwa kwenye baibui? Ebu kajipange Vizuri wacha kukurupuka na kuharibu maadili ya watu,unaleta story za vijiweni JF......
 
Yaani lile vazi refu la kiislam afu dem kunyanyua mguu tu kuweka nne we ukaona mpaka paja??? Haha...haiwezkani bhana..
Mzushi tuu,hata sijui Kama anajua anacho ongelea hata jina halijui ilo vazi usishangae akaliita turubai....
 
hongera kwa simulizi nzuri iliyopangika. swali:'Inamaana yeye nssf na ukubwa wake hawakumpa usafiri?'.hakukuwa na watu wa nssf kuhakikisha wanaandaa swala la accomodation kwa mgeni wao kutoka dar? hiyo hotel ingejaa na mikoani zilivyo chache zenye hadhi angeenda lala gesti bubu? nssf ni wepesi hivyo?
 
Rungwe na kyela mbona ni wilaya tofauti sana mr.?? Ilikuwaje ukawa kikaoni Rungwe maeneo ya Kyela..na kutoka kyela mpaka Mbeya mjini sio masaa 3 na nusu...labda ka mnatumia baiskeli..buni vizuri asee.

Mkuu Mbeya unaijua lakini.?
 
Back
Top Bottom