HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,703
- 48,143
Kama huwezi kuwa mjanja hadi uende Chumvini, mimi natoa ruhusa endeleeni kuniita mshamba lakini mimi sijawahi kuzama, na naahidi sitoweza kuzama Chumvini.Inataka moyo kuzama chumvin we wa wap... m naonaga kutamu
Nimefanya utundu mwingi sana lakini Chumvini sijawahi, nawaachia nyie wakali wa donta.
Hongera sana mkuu,
Mimi hapo nasema BADO kama Mr IBO hiyo "BADO"