Agogwe
JF-Expert Member
- Feb 20, 2013
- 2,742
- 3,009
easy mpe bia ktk glass akinywa mpaka mapovu ujue tayariHabari wadau?
Binafsi nimekutana na wanawake wenye maumbile tofauti kule kwenye sehem zao kuu. Naomba tusaidiane wadau maana nashindwa kuelewa kama mwanamke akikeketwa huwa maumbile ya nanii yake huwa yanabadilika. Inaezekana nina mkos wa kukutana na wanawake waliokeketwa.
NB. Naomba usinitukane!