Utamtambuaje mwanamke aliekeketwa?

Utamtambuaje mwanamke aliekeketwa?

tulia na mmoja.. wala hutopata tabu ya kufanya comparison
 
Habari wadau?
Binafsi nimekutana na wanawake wenye maumbile tofauti kule kwenye sehem zao kuu. Naomba tusaidiane wadau maana nashindwa kuelewa kama mwanamke akikeketwa huwa maumbile ya nanii yake huwa yanabadilika. Inaezekana nina mkos wa kukutana na wanawake waliokeketwa.

NB. Naomba usinitukane!
weka picha tuone mkuu
endelea kuwakagua tu, utaiona tofauti ya maumbile yao
Just go on, playboy, just go on.
 
Kukeketwa maana yake nin??ukishajua maana yake bas huna haja ya kuulza hilo swali lako
 
naomba niulize wadau..hivi kusini hasa kwa wahehe haya masuala ya kukeketa yapo?
 
Habari wadau? Binafsi nimekutana na wanawake wenye maumbile tofauti kule kwenye sehem zao kuu. Naomba tusaidiane wadau maana nashindwa kuelewa kama mwanamke akikeketwa huwa maumbile ya nanii yake huwa yanabadilika. Inaezekana nina mkos wa kukutana na wanawake waliokeketwa. NB. Naomba usinitukane!
Mbona kitu rahisi hivyo? Ukitaka kujua mwanamke aliyekeketwa au la fanya hivi: Muulize/waulize wao Je, ant umekeketwa/mmekeketwa? Yeye/wao watakujibu ndio/hapana. Hapo utakuwa umeshajua na hutakuwa na haja tena ya kuja kuuliza uchuro wako humu jf.
 
Wenye mila hizo ni mikoa ya Mara, Arusha, singida, Kilimanjaro, tanga , Moro kwa sehem, Dodoma. Iringa hamna
 
Hana mzuka vipi kitu unachezea hadi kinakojoa lakini ukijaribu kushika kule huoni kisimi.

Wasukuma hawakeketwi wala kutaili siyo asili yao. wazee kibao wa usukumani wana mikono ya sweta. Kwa kumsaidia tu mleta maada: Mikoa wanayokeketa ni, mara,singida,arusha,manyara,dodoma,tanga,knjaro,dar,moro,ruvuma,mtwara na lindi kiasi.
Mikoa wasiyo keketa ni mwanza(exclude ukerewe),shinyanga ndo hawakati kabisa pote, tabora(exclude uyui,tabora mjini,skonge), iringa hawakati kabisa, njombe(exclude maeneo ya madaba) mbeya yote, rukwa, kigoma(exclude ujiji, kibirizi) kagera yote. Ndo hayo tu!
 
Kwani Wakerewe wanakeketwa kijana, hafu hiyo mikoa uliyotaja ukafanya exclusion ya baadhi ya maaneo kuwa wanakeketa je unaweza ukafafanua hayo maeneo au wilaya hizo na makabila yake?

Wasukuma hawakeketwi wala kutaili siyo asili yao. wazee kibao wa usukumani wana mikono ya sweta. Kwa kumsaidia tu mleta maada: Mikoa wanayokeketa ni, mara,singida,arusha,manyara,dodoma,tanga,knjaro,dar,moro,ruvuma,mtwara na lindi kiasi.
Mikoa wasiyo keketa ni mwanza(exclude ukerewe),shinyanga ndo hawakati kabisa pote, tabora(exclude uyui,tabora mjini,skonge), iringa hawakati kabisa, njombe(exclude maeneo ya madaba) mbeya yote, rukwa, kigoma(exclude ujiji, kibirizi) kagera yote. Ndo hayo tu!
 
Habari wadau?
Binafsi nimekutana na wanawake wenye maumbile tofauti kule kwenye sehem zao kuu. Naomba tusaidiane wadau maana nashindwa kuelewa kama mwanamke akikeketwa huwa maumbile ya nanii yake huwa yanabadilika. Inaezekana nina mkos wa kukutana na wanawake waliokeketwa.

NB. Naomba usinitukane!

mkuu yani hapo ni mlango tu, hukuti pazia kiufupi.
yani kile ki… mbe kinakuwa kimetolewa. yan panakuwa flat utadhan 071
 
Kwani Wakerewe wanakeketwa kijana, hafu hiyo mikoa uliyotaja ukafanya exclusion ya baadhi ya maaneo kuwa wanakeketa je unaweza ukafafanua hayo maeneo au wilaya hizo na makabila yake?

Wakerewe wanakeketwa, hawa waliletwa na Nyerere kutoka mkoani mara, kuhusu exlusion za wilaya ni maeneo ambayo yapo pembezoni mwa mikoa inayoendekeza ukeketaji! Pia kwa wilaya za mikoa kama Tabora ni maeneo ya ambayo walikaa sana waarabu hivyo wamerithishwa tabia za umwinyi +wivu wa kuachwa na wakezao.
Ikumbukwe kuwa ukeketaji utaendelea kuwepo milele ktk baadhi ya mikoa coz they tend to believe eti waliokeketwa hutulizana!
 
Back
Top Bottom